Jux aachia ‘Sisikii’ redioni
![](http://4.bp.blogspot.com/-czTSxv9GWhk/VBQkwyIKAfI/AAAAAAAGjak/i95OYQ-r-Bc/s72-c/unnamed%2B(34).jpg)
Na Andrew Chale
MWANAMUZIKI nyota anayefanya vizuri katika tasnia ya muziki nchini, Juma Mussa ‘Jux’ anayetamba zaidi na vibao vya ‘Uzuri wako’ na ‘Nitasubiri’, ameachia rasmi wimbo wake mpya wa ‘Sisikii’ katika stesheni mbalimbali za redio.
Akizungumza jijini Dar es Salaam , Jux alisema wimbo huo wa ‘Sisikii’ ameutengeneza kwa Mtayarishaji Maneke wa AM rekodi, ambao ni zawadi nyingine kwa mashabiki wake wote duniani.Jux aliwataka kuupokea kwa mikono miwili na wasubiri video ambayo itakuwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Jamtz.Com![](http://4.bp.blogspot.com/-Ff-Ce6CZpjQ/VBAGeZHeyDI/AAAAAAAABIg/PnFmngNlyE0/s72-c/10616924_851357238221592_723195210_n.jpg)
10 years ago
Dewji Blog09 Sep
10 years ago
Bongo517 Jan
New Video: Jux — Sisikii
10 years ago
GPL18 Jan
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/0IYsRm84KZU/default.jpg)
10 years ago
GPL10 Sep
10 years ago
Bongo510 Sep
Jux ataja kiwango alichotozwa na Mabeste kumwandikia wimbo wake mpya ‘Sisikii’, ni zaidi ya 1M na ameilipa
10 years ago
Bongo511 Sep
Jux azungumzia tetesi za kuhusu wimbo wake mpya ‘Sisikii’ kama amemuimbia Vanessa Mdee