KAGAME CUP
Kikosi cha timu ya Khartoum ya Sudan kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wa nusu fainali ya michuano ya kombe la Kagame dhidi ya Gor Mahia ya Kenya kwenye Uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam leo. Gor Mahi inaongoza kwa magoli 3-1. (Picha na Francis Dande)
Wachezaji wa timu ya Khartoum wakishangilia bao.
Mashabiki wa Gor Mahia wakishangilia timu yao.
Golikipa wa timu ya Gor Mahia, Boniface Oluochakiokoa moja ya hatari langoni mwake.
Mashabiki wa Gor Mahia wakishangilia timu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania03 Aug
Azam bingwa Kagame Cup
TIMU ya soka Azam FC jana imeandika historia mpya kwenye soka la Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) baada ya kutwaa ubingwa wa michuano ya Kombe la Kagame Cup kwa kuifunga Gor Mahia ya Kenya mabao 2-0 katika mechi ya fainali iliyochezwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Mabao ya Azam yaliwekwa kimiani na washambuliaji John Bocco 'Adebayor' dakika ya 16 na Kipre Tchetche dakika ya 65.
Bao la Bocco lilipatikana baada ya Tchetche kuwakimbiza mabeki wa Gor Mahia ambao walishindwa...
10 years ago
BBCSwahili05 Jul
Maandalizi Kagame Cup yaendelea
10 years ago
BBCSwahili10 May
Tanzania mwenyeji Kagame Cup
11 years ago
BBCSwahili07 Aug
Kagame Cup Kuanza Agosti 8
11 years ago
Michuzi22 Jul
10 years ago
Raia Tanzania15 Jul
Kiingilio Kagame Cup 2000/-
BARAZA la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), kushirikiana na wenyeji wa michuano hiyo Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) wametangaza kiingilio cha chini katika michuano ya Kagame kuwa ni Sh. 2,000.
Michuano hiyo inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Jumamosi hii, ikishirikisha timu 13 wanachama wa Cecafa. Bingwa mtetezi ni timu ya El-Merreikh ya Sudan.
Taarifa iliyotumwa na Ofisa Habari wa TFF, Baraka Kizuguto ilisema kiingilio hicho cha chini kitatumika Uwanja wa Karume....
11 years ago
GPL![](http://www.kililager.com/kikwetu/wp-content/uploads/2014/07/CECAFA.jpg?width=200)
MAKUNDI KAGAME CUP YATANGAZWA
11 years ago
Mwananchi13 Apr
Kagame ‘Cup’ kufanyika Dar
10 years ago
Vijimambo24 Jul
HII NDIYO KAGAME CUP
TIMUPWDLGDPTS1Khartoum2200662Gor Mahia2200363Young Africans FC2101234KMKM3102-235Telecom3003-90Kundi B
TIMUPWDLGDPTS1APR3300492AlShandy3111043LLB AFC3021-124Heegan3012-31Kundi C
TIMUPWDLGDPTS1Azam FC2200362KCC FC2101033Malakia2101-134Adama City2002-20