KAJALA UMEPAA ANGALIA USIANGUKE
![](http://api.ning.com:80/files/3FLLVGZOVWKoqu3J9PkiHSdwou*NUE2C4QgPva3RECafT*Dwla4OKbnG60nsmNmwY5cmrnEhhnl2F-3BhOEJpy0p1GUdxOM2/150000080.jpg)
KWAKO mwigizaji Kajala Masanja. Mambo vipi dada yangu, kitambo kidogo hatujaonana. Vipi mishemishe zinakwenda kama kawaida?Binafsi namshukuru Mungu naendelea vizuri. Kazi zinakwenda kama kawaida, tunapambana kuhakikisha tunatimiza wajibu wetu kama waandishi katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu. imekukumbuka leo kwa barua maana wakati mwingine najua kutokana na majukumu, ni nadra sana kuonana. Lakini naamini kupitia...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bdG71GPfFwEf8vvY1*7p-IM5gjyTXxjlHMEwahkxEEXctAucSt9L0mYCMW53-I9oDHcjXLAvuw8dqbQdX3OimCcrm6i3RilZ/MAMAWEMA.jpg?width=650)
KAJALA ANGALIA YASIKUKUTE YA WEMA
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Cmufrv6JsXU/default.jpg)
11 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala
Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari ambayo ilisambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...