Kamanda Ras Makunja wa Ngoma Africa band mwanamuziki mpiganaji
![](http://4.bp.blogspot.com/-uxU8RH7qB9U/U4ISu4i3y5I/AAAAAAAFk9I/nhWBiEXS3do/s72-c/unnamed+(28).jpg)
Kamanda Ras Makunja wa Ngoma Africa band ni mwanamuziki mpiganaji aliyepachikwa majina mengi ya utani kutokana na matukio na vibweka vyake. Unapoutaja muziki wa dansi wa Tanzania maarufu kama "Bongo Dansi" jina la Mwamuziki Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja na mzimu wake wa "Ngoma Africa band" aka FFU-Ughaibuni ama ukipenda waite "Watoto wa Mbwa" au Viumbe wa ajabu "Anunnaki Aliens" yenye makao yake kule Ujerumani, vyote hivyo sawa. Mwanamuziki Kamanda Ras Makunja wa FFU-Ughaibuni,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-CvEvuj8P0Ks/U-2VW-5JjCI/AAAAAAAF_t8/02Trzfe_qHY/s72-c/unnamed%2B(8).jpg)
Mwanamuziki kamanda ras makunja afunguka kuhusu mabadiliko ya katiba na pia uraia pacha
![](http://4.bp.blogspot.com/-CvEvuj8P0Ks/U-2VW-5JjCI/AAAAAAAF_t8/02Trzfe_qHY/s1600/unnamed%2B(8).jpg)
Akizungumza kutoka katika makao yake mjini Oldenburg,Ujerumani.Kamanda Ras Makunja wa kikosi kazi FFU-Ughaibuni alisemaKuwa: MCHAKATO WA KATIBA MPYA UMEWAFANYA WATANZANIAWENGI KUSOMA KATIBA YA...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/bJubfyXMsOc/default.jpg)
ngoma azipendazo ankal - special request from Ras Makunja wa Ngoma Afrika band, Ujerumani
Simba Wanyika - Halleluja
10 years ago
VijimamboGWANDA ZA KAMANDA RAS MAKUNJA
mavazi ya kijeshi ,kamanda Ras Makunja na kikosi chake haliwahusu...
9 years ago
VijimamboHAPPY BIRTHDAY KAMANDA RAS MAKUNJA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-44GF9_Avefk/VBvTUeip4CI/AAAAAAAGkZs/SJzjm0qHIx0/s72-c/unnamed%2B(55).jpg)
HEPI BESIDEI YA KUZALIWA KAMANDA RAS MAKUNJA
![](http://1.bp.blogspot.com/-44GF9_Avefk/VBvTUeip4CI/AAAAAAAGkZs/SJzjm0qHIx0/s1600/unnamed%2B(55).jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-DfacekGT3zE/VfzN3V781eI/AAAAAAAH5_A/G2UMOR12H_Q/s72-c/unnamed%2B%252847%2529.jpg)
HAPPY BIRTHDAY KAMANDA RAS MAKUNJA WA FFU UGHAIBUNI
![](http://3.bp.blogspot.com/-DfacekGT3zE/VfzN3V781eI/AAAAAAAH5_A/G2UMOR12H_Q/s320/unnamed%2B%252847%2529.jpg)
Akiwa mtoto wa kwanza wa kiume wa Bw.Jumanne Saleh Makunja Ngayonga (RIP) na Bi.Moza Hassan Seifu Mpili (Mama Makunja), Mwanamuziki Kamanda Ras Makunja ni mtunzi na mwimbaji mahili wa muziki wa dansi leo ndio Happy Birthday yake.
Unaweza kuburudika na...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-IBtCLfVXHgo/VIy1rAWlwpI/AAAAAAADRdg/B1c61OWXUgw/s72-c/other%2Bface%2Bof%2Bkamanda.jpg)
KICHEKO CHA KAMANDA RAS MAKUNJA WA FFU KULIKONI ?
![](http://3.bp.blogspot.com/-IBtCLfVXHgo/VIy1rAWlwpI/AAAAAAADRdg/B1c61OWXUgw/s1600/other%2Bface%2Bof%2Bkamanda.jpg)
9 years ago
Michuzi09 Oct
Kamanda Ras Makunja Akihojiwa na Radio Zenj FM kuhusu uchaguzi
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-GzdpgWCxdTE/VXaMBjjuHMI/AAAAAAAHdO8/7PD978qOuZw/s72-c/unnamed%2B%2528100%2529.jpg)
MBWA DOMO BAYA LAWAMANI KWA KUMTOROSHA BUNDI WA KAMANDA RAS MAKUNJA
![](http://3.bp.blogspot.com/-GzdpgWCxdTE/VXaMBjjuHMI/AAAAAAAHdO8/7PD978qOuZw/s320/unnamed%2B%2528100%2529.jpg)
Kutoroka kwa Bundi huyo kumesababishwa na mbwa wa kamanda aitwae Kopro Dogi Domobaya, mbwa huyo anashutumiwa kwa...