Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


kamati ya bunge ya uliniz na usalama ziarani india

 Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Bunge wakiwa na wenyeji wao mara baada ya kuwasili katika  Bunge la India (Lokh Sabha) wajumbe wa kamati hiyo wametembelea leo huko New Delhi, India  Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Bunge Mhe Anna Abdallah akisaini katika kitabu cha wageni wa Bunge la India (Lokh Sabha) ambalo yeye na wajumbe wa kamati hiyo wametembelea leo huko New Delhi, India  Baadhi ya wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama wakiwa ziarani India  Kikao cha pamoja katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA TAMISEMI ZIARANI MKOA WA PWANI

Wajumbe wakipata maelezo kutoka kwa uongozi wa Mkoa wa Pwani pamoja na Hospitali ya Tumbi kuhusu upanuzi wa hospitali hiyo. Wajumbe wakikagua Jengo Jipya la Hospitali ya Tumbi linaloendelea kujengwa. Wajumbe wa Kamati ya TAMISEMI wakitembelea Shule ya Sekondari Mihande iliyopo Mlandizi Mkoa wa Pwani kukagua Ujenzi unaondelea. Wajumbe wa Kamati hiyo wakipata Maelezo kuhusu Ujenzi wa maabara ya Shule ya Sekondari Mihande.

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE ZIARANI NCHINI UFARANSA

Kiongozi wa ujumbe wa kamati ya kudumu ya bunge ya mambo ya nje, Hamadi Yussuf Masauni (wa pili kulia) akiwa na balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Begum Taj (wa tatu kushoto) na wajumbe wengine wa kamati hiyo, John Shibuda (wa kwanza kushoto), Leticia Nyerere, Ibrahim Sanya na katibu wa msafara huo, Rubi Laki. Picha na Mpigapicha Wetu.
Mwandishi Wetu, Paris Ufaransa.
Kamati ya Bunge ya Masuala ya Mambo ya Nje imemaliza ziara ya siku tatu nchini Ufaransa na kuridhishwa na...

 

11 years ago

Mwananchi

Maofisa usalama wamwagwa mikutano ya kamati za Bunge

Ofisi ya Bunge la Katiba imeweka maofisa usalama katika kumbi zote zinazotumika kufanya vikao vya kamati.

 

5 years ago

Michuzi

WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA NJE, ULINZI NA USALAMA WATEMBELEA JENGO LA WIZARA LILILOPO MTUMBA




Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.) akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Nje, Ulinzi na Usalama walipofanya ziara ya kikazi kwenye Jengo la Wizara lililopo Mtumba jijini Dodoma tarehe 15 Machi 2020
Mhe. Prof. Kabudi akifafanua jambo kwa Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya NUU
Wajumbe wa Kamati ya NUU akiwemo Mhe. Vuai Nahodha (kulia) wakimsikiliza Prof. Kabudi (hayupo pichani). Kushoto ni Mhe. Augustino Masele.
Wajumbe...

 

5 years ago

Michuzi

SIMBACHAWENE AWAONGOZA WATENDAJI WAKUU ZIMAMOTO KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA



Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati), akizungumza na Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Victor Mwambalaswa wakati wakitoka kukagua Jengo la Makao makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, jijini Dodoma leo. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Ramadhani Kailima....

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE YAKUTANA NA SERIKALI PAMOJA NA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI MJINI DODOMA LEO

 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha pamoja baina ya Serikali, Kamati ya Uongozi pamoja na Kamati ya Bunge ya Bajeti ikiwa ni kikao cha maridhiano kuhusu Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2014/2014. kikao hicho kiliudhuriwa pia na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Kayanza Pinda, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya. Picha kwa hisani ya Bunge  Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha pamoja baina ya Serikali, Kamati ya Uongozi pamoja na Kamati ya...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA (NUU) YAFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA MRADI WA UJENZI WA KIWANDA CHA USEREMALA GEREZA MSALATO



Katibu Mkuu wa Mambo ya Ndani ya Nchi ndugu Christopher D. Kadio (wa nne toka kushoto ) akimkaribisha Mkuu wa Msafara wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama,ambaye ni Mbunge wa Zanzibar Jimbo la Uzini ndugu Salum Rehani(wa nne toka kulia) walipowasili eneo la Mradi, Msalato. Wa tatu toka kushoto ni Kamishna Jenerali wa...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA YAPITIA MAPENDEKEZO YA BAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KWA MWAKA WA FEDHA 2020/21 KILICHOFANYIKA JIJINI DODOMA LEO


Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Katikati), Katibu Mkuu, Christopher Kadio (Kulia) na Naibu klatibu Mkuu, Ramadhani Kailima (Kushoto) wakizungumza kabla ya kuanza Kikao Cha Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama. Wizara hii imewasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha  2020/21 katika Kikao kilichofanyika Jijini Dodoma leo.

Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Kushoto), Katibu Mkuu, Christopher Kadio...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani