Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA WAWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA 2020/2021

 Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri akisikiliza maoni ya wajumbe wa Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa baada ya kuwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti yam waka 2019/2020 pamoja na makadirio ya Mapato na Matumizi ya Mkoa wake kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021. Kikao hicho cha Kamati kimefanyika katika Ofisi za Bunge, Jijini Dodoma. Mbunge wa Mpwawa, George Lubeleje ambaye ni Mjumbe wa Kamati Utawala na Serikali za Mitaa akichangia Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya mwaka 2019/2020...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA YAWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA MWAKA 2019/21

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Aggrey Mwanri akisikiliza maoni ya wajumbe wa Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa baada ya kuwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti yam waka 2019/2020 pamoja na makadirio ya Mapato na Matumizi ya Mkoa wake kwa Mwaka waFedha 2020/2021. Kikao hicho cha Kamati kimefanyika katika Ofisi za Bunge, Jijini Dodoma.Mbunge...

 

10 years ago

Michuzi

Bunge laridhishwa na utendaji wa serikali, lapitisha taarifa za za Kamati ya Bajeti, Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Hesabu za Serikali (PAC), Miundombinu na Nishati na Madini.

 Na Hussein Makame, MAELEZO, DodomaKAMATI za Bunge za Serikali za Mitaa (LAAC) na ile ya Hesabu za Serikali (PAC), zimeridhishwa na mafanikio na hatua zilizochukuliwa na Serikali kwa kuongeza mapato yake na kushughulikia changamoto zinazoikabili katika kutekelza majukumu yake.

Kufuatia hali hiyo, Bunge limepitisha taarifa za kamati hizo na nyingine tatu, huku Serikali ikiahidi kufanyia kazi yale yote yaliyopendekezwa kwenye taarifa hizo ili kulipeleka Taifa kule kunakotakiwa.

Taarifa za Kamati...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA MIUNDOMBINU YAWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA BAJETI


Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe akisisitiza jambo katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Miundombinu ambapo Wizara yake imewasilisha Taarifa ya utekeleaji ya bajeti ya sekta ya uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2019/2020 na makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2020/2021. Kikao hicho kimefanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu wakiwa katika kikao cha kamati ambapo wamepokea na kujadili Taarifa ya...

 

5 years ago

CCM Blog

BAJETI KUU YA SERIKALI 2020-2021 ILIVYOSOMWA BUNGENI DODOMA


Muda huu Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Philip Mpango anawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2019/2020, Bonyeza PLAY hapa chini kutazama LIVE.

 

5 years ago

Michuzi

MATUKIO YA UWASILISHAJI WA MAPENDEKEZO BAJETI KUU YA SERIKALI KWA MWAKA 2020/2021


Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akipongezwa na Wabunge baada ya kuwasilishwa Mapendekezo ya Serikali kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi  kwa mwaka 2020/2021, bungeni jijini DodomaKatibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James, (wa tatu kushoto) na Wakuu wa Taasisi, Idara wa Wizara hiyo na Viongozi wengine wa Serikali ...

 

5 years ago

Michuzi

MATUKIO KATIKA PICHA KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni George Mkuchika akiwasilisha mbele ya Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa Taarifa ya Mapato na Matumizi ya Mafungu ya ofisi yake kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021, kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Dkt. Mary Mwanjelwa. Kikao hicho cha Kamati kimefanyika katika Ofisi za Bunge, Jijini Dodoma.Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wakiwa katika kikao cha...

 

5 years ago

Michuzi

UTUMISHI YAFANYA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI KUJADILI TAARIFA YA MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA BAJETI WA MWAKA 2019/20 NA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA 2020/21


Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (katikati) akiongoza kikao cha Baraza la Wafanyakazi kujadili taarifa ya Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango wa Bajeti wa Mwaka 2019/20 na Mpango wa Bajeti kwa Mwaka 2020/21 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Kituo cha Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakimsikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais,...

 

5 years ago

CCM Blog

BAJETI KUU YA SERIKALI KWA MWAKA 2020-2021 YAPITISHWA KWA KISHINDO


Wabunge wamepitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2020/2021 ya jumla ya shilingi Trilioni 34.88.Bajeti hiyo imepitishwa kwa kura 304 za ndio kati ya kura 371 zilizopigwa na wabunge waliokuwepo bungeni jijini Dodoma.Shughuli ya upigaji kura, imefanyika kwa mbunge kuitwa jina lake na kupiga kura hadharani kwa sauti.Akitangaza matokeo ya kura, Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai amesema, wabunge waliopiga kura walikuwa 371 na wabunge 13 hawakuwepo bungeni.Kagaigai amesema, kura 63...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani