KAMISHENI YA HAKI ZA BINADAMU YA UMOJA WA MATAIFA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI
Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi, akizungumza siku ya Alhamis Usiku, muda mfupi kabla ya kuonyeshwa kwa filamu ya "the Boy from Geita" ambayo inaelezea uovu wanaotendewa watu wenye ulemavu hususani watoto Nchi Tanzania. Katibu Mkuu Msaidizi wa ofisi ya Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, Bw. Ivan Simonvic wapili kutoka kushoto alitambua mchango wa serikali katika kuukabili uovu dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-C4N-1ZQUZVY/VPe7NwA_b0I/AAAAAAADbeA/0jmH-riNJw4/s72-c/FullSizeRender%2B-%2BCopy.jpg)
TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA KAMISHENI YA TAKWIMU YA UMOJA WA MATAIFA
Mkutano huu ambao ni wa siku nne unafanyika katika kipindi ambacho Jumuiya ya Kimataifa inaendelea na jukumu kubwa la kuaanda na kukamilisha rasimu ya malengo mapya ya maendeleo endelevu baada ya 2015 ( SDGs) mchakato ambao umekwisha ainisha jumla ya...
11 years ago
Tanzania Daima28 Feb
Polisi kushirikiana na watetezi wa haki za binadamu
JESHI la Polisi nchini limeahidi kufanya kazi kwa ukaribu na watetezi wa haki za binadamu ili waweze kutekeleza majukumu yao katika hali ya usalama. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini...
9 years ago
Dewji Blog30 Nov
Tume ya Haki za Binadamu na DIGNITY wafanya semina juu elimu kuhusu haki za binadamu!!
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Tom Nyanduga akielezea mambo mbalimbali katika semina hiyo. kulia kwake ni afisa kutoka DIGNITY, Bi. Brenda Van Den Bergh. (Picha zote na Mpiga picha wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora).
Na Rabi Hume,Modewjiblog
Tume ya haki za binadamu na utawala bora ikishirikiana na Taasisi ya haki za binadamu kutoka Denmark (DIGNITY) wamefanya semina inayohusu haki za binadamu kwa kutoa elimu kwa asasi mbalimbali kuhusu...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-79P9KSNEENE/XmDwZ8VeUJI/AAAAAAALhMU/NvKXOpdcLAgvkQBJYaxvfPiBW1NobOvDwCLcBGAsYHQ/s72-c/PHOTO-2020-03-05-13-34-29.jpg)
Tanzania yashiriki Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) jijini Vienna, Austria
![](https://1.bp.blogspot.com/-79P9KSNEENE/XmDwZ8VeUJI/AAAAAAALhMU/NvKXOpdcLAgvkQBJYaxvfPiBW1NobOvDwCLcBGAsYHQ/s1600/PHOTO-2020-03-05-13-34-29.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-sdzCm2mQasc/VijHV3LT17I/AAAAAAAAE50/JAikOfuvPG8/s72-c/1.jpg)
MAHAKAMA YA HAKI ZA BINADAMU YAADHIMISHA SIKU YA HAKI ZA BINADAMU AFRIKA JIJINI ARUSHA
![](http://1.bp.blogspot.com/-sdzCm2mQasc/VijHV3LT17I/AAAAAAAAE50/JAikOfuvPG8/s640/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-1jiUFRYnO2s/VijHclt6wII/AAAAAAAAE58/VpaB20eNO_8/s640/2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-HwLSGqa5iPA/VijHzxQEmKI/AAAAAAAAE6E/QO2UWhpIRX8/s640/3.jpg)
9 years ago
MichuziSERIKALI: TUTALINDA HAKI ZA BINADAMU
10 years ago
Dewji Blog11 Nov
Naibu Mwanasheria wa Serikali afungua mafunzo ya haki za binadamu Kunduchi
Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. George Masaju akitoa hotuba yake kufungua rasmi warsha ya siku tano ya mafunzo ya haki za binadamu kwa maafisa kutoka Taasisi 11 za kitaifa za haki za binadamu za nchi za Afrika Kunduchi Beach Resort mapema jana.
Baadhi ya washiriki wa warsha ya siku tano ya mafunzo kuhusu masuala ya haki za binadamu wakifuatilia hotuba ya Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. George Masaju (hayupo pichani) iliyotolewa jana Kunduchi Beach Resort. Mafunzo hayo...
10 years ago
Dewji Blog11 Dec
UN yataka serikali kufanyia kazi mianya inayotishia haki za binadamu
Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Bibi Mary Massay akitambulisha meza kuu wakati wa maadhimisho ya Siku ya haki za binadamu yaliyoenda sambamba na mkutano wa kujadili utekezaji wa makubaliano ya haki za binadamu nchini na maandalizi ya ripoti ijayo yaliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog).
Na Mwandishi wetu
MRATIBU Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP)...