SERIKALI: TUTALINDA HAKI ZA BINADAMU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akihutubia wadau mbalimbali hawapo pichani wakati wa maadhimisho ya Haki za Binadamu Duniani yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam.
Kikosi cha Bendi ya Askari magereza wakiongoza maandamano kwa ajili ya kuadhimisha siku ya haki za Binadamu Duniani yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam.
Wananfunzi waliobeba mabango yakiwa na ujumbe mbalimbali unaosisitiza haki za Binadamu zizingatiwe wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog30 Nov
Tume ya Haki za Binadamu na DIGNITY wafanya semina juu elimu kuhusu haki za binadamu!!
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Tom Nyanduga akielezea mambo mbalimbali katika semina hiyo. kulia kwake ni afisa kutoka DIGNITY, Bi. Brenda Van Den Bergh. (Picha zote na Mpiga picha wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora).
Na Rabi Hume,Modewjiblog
Tume ya haki za binadamu na utawala bora ikishirikiana na Taasisi ya haki za binadamu kutoka Denmark (DIGNITY) wamefanya semina inayohusu haki za binadamu kwa kutoa elimu kwa asasi mbalimbali kuhusu...
10 years ago
Michuzi
MAHAKAMA YA HAKI ZA BINADAMU YAADHIMISHA SIKU YA HAKI ZA BINADAMU AFRIKA JIJINI ARUSHA



10 years ago
MichuziKAMISHENI YA HAKI ZA BINADAMU YA UMOJA WA MATAIFA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI
10 years ago
Dewji Blog11 Dec
UN yataka serikali kufanyia kazi mianya inayotishia haki za binadamu
Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Bibi Mary Massay akitambulisha meza kuu wakati wa maadhimisho ya Siku ya haki za binadamu yaliyoenda sambamba na mkutano wa kujadili utekezaji wa makubaliano ya haki za binadamu nchini na maandalizi ya ripoti ijayo yaliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog).
Na Mwandishi wetu
MRATIBU Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP)...
10 years ago
Dewji Blog11 Nov
Naibu Mwanasheria wa Serikali afungua mafunzo ya haki za binadamu Kunduchi
Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. George Masaju akitoa hotuba yake kufungua rasmi warsha ya siku tano ya mafunzo ya haki za binadamu kwa maafisa kutoka Taasisi 11 za kitaifa za haki za binadamu za nchi za Afrika Kunduchi Beach Resort mapema jana.
Baadhi ya washiriki wa warsha ya siku tano ya mafunzo kuhusu masuala ya haki za binadamu wakifuatilia hotuba ya Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. George Masaju (hayupo pichani) iliyotolewa jana Kunduchi Beach Resort. Mafunzo hayo...
11 years ago
GPL
MKOSAJI MKUU WA HAKI ZA BINADAMU NI SERIKALI - JAJI MSTAAFU MIHAYO
10 years ago
GPL
UN YATAKA SERIKALI KUFANYIA KAZI MIANYA INAYOTISHIA HAKI ZA BINADAMU
10 years ago
MichuziNaibu Mwanasheria wa Serikali afungua mafunzo ya haki za binadamu Kunduchi leo