MKOSAJI MKUU WA HAKI ZA BINADAMU NI SERIKALI - JAJI MSTAAFU MIHAYO
Mjumbe wa Bodi ya Mtandao wa watetezi wa Haki za Binadamu nchini (Tanzania Human Rights Defenders Coalition) Dkt. Hellen Kijo Bisimba akitoa neno la ufunguzi wakati wa warsha ya siku moja iliyowakutanisha watetezi wa Haki za Binadamu nchini na Jeshi la Polisi jijini Dar leo. Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Abdurahman Kaniki, akitoa hotuba yake ya ufunguzi kwa niaba ya IGP Ernest Mangu, kwenye warsha ya siku moja...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWizara ya Katiba na Sheria na Tume ya Haki za Binadamu zina Wajibu wa kulinda haki za wananchi-Jaji Mstaafu Mwaimu
Waziri wa Katiba na Sheria wa Zanzibari, Mhe.Khamis Juma Mwalim, akifafanua jambo kwa wajumbe na wageni wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora (hawapo pichani) wakiongozwa na Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu (kushoto) wakati wa kikao kifupi kilichofanyika ofisini kwake baada ya kutembelewa na ugeni huo loe Juni 4, 2020 Mjini...
10 years ago
GPLUN YATAKA SERIKALI KUFANYIA KAZI MIANYA INAYOTISHIA HAKI ZA BINADAMU
5 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziMWANASHERIA MKUU WA SERIKALI AKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI PIA ATEMBELEA OFISI YA TUME ZA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA
10 years ago
Dewji Blog23 Mar
Jaji Agustino Ramadhani ahutubia mkutano wa Haki za Binadamu
Raisi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za binadamu Jaji Agustino Ramadhani, akihutubia mkutano wa Haki za binadamu uliofanyika jana jijini Arusha wenye lengo la kuimarisha haki za binadamu na kushirikisha taasisi binafsi na za serikali katika kuisaidia Mahakama hiyo .Picha na Mahmoud Ahmad – Arusha).
10 years ago
Habarileo24 Nov
Jaji Ramadhani ataka Afrika kuzingatia haki za binadamu
RAIS wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (AfCHPR) Jaji Augustino Ramadhani amezitaka nchi za Afrika kuzingatia zaidi masuala ya haki za binadamu kama kweli zinataka kupiga hatua za kiuchumi na kidemokrasia.
10 years ago
MichuziJAJI AUGUSTINO RAMADHAN AWA RAISI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU
Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu imemteua Jaji mkuu mstaafu wa Tanzania Agustino Ramadhan kuwa rais wa mahakama hiyo kwa kipindi cha miaka miwili uteuzi huounaanza mara moja baada ya aliyekuwa rais wa mahakama hiyo Sophia Akuffo wa Ghana kumaliza muda wake.
Jaji Ramadhani Mtanzania wa kwanza kushikilia kiti hicho tangia kuanzishwa kwa mahakama hiyo baada ya kupata kura 7 kwa kura nne dhidi ya mpinzania wake katika nafasi hiyo ya rais wa mahakama hiyo huku nafasi...
9 years ago
Dewji Blog30 Nov
Tume ya Haki za Binadamu na DIGNITY wafanya semina juu elimu kuhusu haki za binadamu!!
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Tom Nyanduga akielezea mambo mbalimbali katika semina hiyo. kulia kwake ni afisa kutoka DIGNITY, Bi. Brenda Van Den Bergh. (Picha zote na Mpiga picha wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora).
Na Rabi Hume,Modewjiblog
Tume ya haki za binadamu na utawala bora ikishirikiana na Taasisi ya haki za binadamu kutoka Denmark (DIGNITY) wamefanya semina inayohusu haki za binadamu kwa kutoa elimu kwa asasi mbalimbali kuhusu...