KAMPUNI YA TRAVELPORT YAZINDUA MFUMO MPYA UTAKAOWAWEZESHA MAWAKALA WA NDEGE KUUZA TIKETI KIURAHISI ZAIDI
![](http://3.bp.blogspot.com/-1AD2RBhOITo/VAL_yJvmuoI/AAAAAAAGYCI/j6BWqyTKoqA/s72-c/_1.jpg)
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Travelport Tanzania,Eliasaph Mathew akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mfumo (System) mpya wa uuzaji wa tiketi za ndege uitwao Precise Sky utakaotumiwa na Mawakala wa Uuzaji wa tiketi za ndege nchini (Travel Agents) uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye ukumbi wa Golden Jubilee Tower, jijini Dar es salaam.
Mgeni Rasmi katika hafla hiyo ya uzinduzi wa Mfumo (System) mpya wa uuzaji wa tiketi za ndege uitwao Precise Sky,Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziZenith Tour na Travelport watoa mafunzo ya Utumiaji wa Eletronic ya huduma ya ukataji wa tiketi za ndege,Zanzibar
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-mWR5AJF1938/VnqJZmD9A2I/AAAAAAAIOM4/oePQsgqdK0E/s72-c/1.jpg)
SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LAZINDUA MFUMO MPYA WA KISASA WA USIMAMIZI WA MIZIGO KWENYE VIWANJA VYA NDEGE
![](http://2.bp.blogspot.com/-mWR5AJF1938/VnqJZmD9A2I/AAAAAAAIOM4/oePQsgqdK0E/s640/1.jpg)
Kupitia mfumo wa kisasa wa Baggage Management System (BMS) unaosimamiwa na kampuni ya Luggage Logistics, shirika la ndege la Etihad litaweza kuboresha usimamizi ikiwemo kusafirisha mizigo ya wasafiri kwa wakati. Mfumo huo pia utawezesha kufuatilia kwa urahisi...
9 years ago
Dewji Blog23 Dec
Shirika la ndege la ETIHAD lazindua mfumo mpya wa kisasa wa usimamizi wa mizigo kwenye viwanja vyake vya ndege
Shirika la ndege la Etihad ambalo ndio shirika rasmi la nchi ya Falme za kiarabu, leo hii limetangaza makubaliano na kampuni ya Luggage Logistics kuboresha mfumo mzima wa usimamizi wa mizigo katika viwanja vake vya ndege dunia nzima.
Kupitia mfumo wa kisasa wa Baggage Management System (BMS) unaosimamiwa na kampuni ya Luggage Logistics, shirika la ndege la Etihad litaweza kuboresha usimamizi ikiwemo kusafirisha mizigo ya wasafiri kwa wakati. Mfumo huo pia utawezesha kufuatilia kwa urahisi...
11 years ago
Tanzania Daima13 Jan
Elimu bado yahitajika mfumo mpya wa tiketi
KIVUMBI cha raundi ya pili ya Ligi Kuu Tanzania bara kitaanza kutimka Januari 25 kwa miamba 14 kuendelea na kampeni ya kutwaa ubingwa wa ligi hiyo iliyoanza Agosti 24, mwaka...
9 years ago
Global Publishers23 Dec
Tihad Yazindua Mfumo wa Kisasa wa Usimamizi wa Mizigo, Viwanja Vyake vya Ndege
Shirika la ndege la Etihad ambalo ndio shirika rasmi la nchi ya Falme za kiarabu, leo hii limetangaza makubaliano na kampuni ya Luggage Logistics kuboresha mfumo mzima wa usimamizi wa mizigo katika viwanja vake vya ndege dunia nzima.
Kupitia mfumo wa kisasa wa Baggage Management System (BMS) unaosimamiwa na kampuni ya Luggage Logistics, shirika la ndege la Etihad litaweza kuboresha usimamizi ikiwemo kusafirisha mizigo ya wasafiri kwa wakati. Mfumo huo pia utawezesha kufuatilia kwa urahisi...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-FJjBJ1s4THM/Xm_RFG9QouI/AAAAAAALj_Q/aj7LhNG6_hYqje7kHGfm-0dSwqRBhfObACLcBGAsYHQ/s72-c/a63befa7-0c22-4907-beb2-3f212ad464c1.jpg)
KAMPUNI YA YONO AUCTION MART YAZINDUA MFUMO WA MNADA MTANDAONI KWA AJILI YA WAUZAJI, WANUNUZI BIDHAA MBALIMBALI
![](https://1.bp.blogspot.com/-FJjBJ1s4THM/Xm_RFG9QouI/AAAAAAALj_Q/aj7LhNG6_hYqje7kHGfm-0dSwqRBhfObACLcBGAsYHQ/s640/a63befa7-0c22-4907-beb2-3f212ad464c1.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-t7vJFDIgAIM/Xm_RFDLMUjI/AAAAAAALj_M/1Lw17-B5uSMcM0-Go6EYeKG-f-VRrNxUwCLcBGAsYHQ/s640/64acf0f9-18d0-4abd-950d-aa3e0acab5ef.jpg)
Na Said Mwishehe,Michuzi Blogu ya jamii
KAMPUNI ya udalali ya Yono Auction Mart imezindua mfumo wa mnada mtandao ambao ni maalum kwa ajili ya kuwawezesha ...
10 years ago
VijimamboKAMPUNI YA SIMU YA TTCL YAZINDUA MNARA WA MAWASILIANO, WAISHIO VIJIJINI KUNUFAIKA ZAIDI
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-9EEYRmgpRI8/VZZ1-bnWaLI/AAAAAAAAez8/3uB7Qp9PC6g/s72-c/Huawei-P8.jpg)
10 years ago
Dewji Blog04 Jul