Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kanda ya ngono yamtia mashakani mwalimu mkuu

Mwalimu mkuu wa shule moja ya upili nchini Uingereza ameachishwa kazi kufuatia utata kuhusu kanda ya ngono inayodaiwa kurekodiwa shuleni humo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Kanda ya ngono:Djibrill Cisse mashakani

Aliyekuwa mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Liverpool na timu ya taifa ya Ufaransa Djibril Cisse, mwenye umri wa miaka 34, amekamatwa na maafisa wa polisi ili kuchunguzwa kwa madai ya kanda moja ya video kuhusu ngono.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mali ya uma yamtia mashakani waziri mkuu

Waziri mkuu wa Ufaransa, Manuel Valls, amesema amejutia kitendo chake cha kutumia ndege ya serikali kuwabeba wanawe kutizama fainali ya mechi ya mabingwa wa ligi kuu barani Ulaya

 

9 years ago

BBCSwahili

Maoni ya facebook yamtia mashakani

Mahakama ya Singapore imemuhukumu muuguzi mmoja kutoka nchini Ufilipino kifungo cha miezi minne kwa kuchapisha maoni ya uchochezi kuhusu taifa hilo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Sketi yamtia mashakani polisi Kenya

Afisaa mmoja wa polisi mwanamke amepewa onyo kali kwa kuvalia sketi iliyokuwa imembana kiasi cha kuonyesha umbo lake.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwalimu mkuu ashiriki ngono na wanafunzi

Mwalimu mmoja mkuu amekiri kufanya ngono na wavulana wawili wenye umri mdogo.

 

11 years ago

BBCSwahili

'Tattoo' yamtia mashakani Muingereza Sri Lanka

Mtalii muingereza amezuiwa kuingia nchini Sri Lanka baada ya kupatikana akiwa amechorwa 'Tattoo' ya Budhaa kwenye mkono wake.

 

9 years ago

BBCSwahili

Benzema mashakani kuhusiana na ukanda wa ngono

Mshambulizi wa Ufaransa Karim Benzema anachunguzwa kufuatia madai kuwa alijaribu kumshurutisha mchezaji mwenza kulipa pesa kwa watu fulani ilikuzuia ukanda wake wa ngono usichapishwe.

 

10 years ago

Habarileo

Katibu Mkuu UVCCM ziarani Kanda ya Ziwa

KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Sixtus Mapunda anatarajia kufanya ziara ya siku nne (14) katika mikoa minne ya Kanda ya Ziwa, ambayo ni Tabora, Shinyanga, Geita na Kagera kuanzia leo.

 

9 years ago

Vijimambo

MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU KANDA YA ZIWA YAENDELEA VIZURI

 Mwanasheria wa tume ya uchaguzi Bw.Mtibora Seleman akifafanua jambo wakati wa semina hiyo. Wanasemina wakifatilia kwa karibu mafunzo hayo yanayofanyika katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.

 Wanasemina ya masuala ya Uchaguzi kanda ya ziwa wakiwa darasani.

 Bi. Jescar Mongi kutoka tume ya uchaguzi hapa akionesha mfano wa utaratibu wa upigaji kura utakavyokuwa.
Na Mwandishi Wetu, Kanda ya Ziwa
Imefahamika kwamba maandalizi muhimu ya uchaguzi mkuu kwa mikoa ya kanda ya ziwa yanaendelea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani