Katibu Mkuu akutana kwa mazungumzo na wageni mbalimbali waliotembelea Wizarani
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akiwa katika mazungumzo na Mwakilishi Maalum wa Serikali ya China katika masuala ya Afrika, Balozi Zhong Jianhua alipotembelea Wizarani tarehe 17 Novemba, 2015.
Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Samuel Shelukindo kwa pamoja na Afisa Mambo ya Nje, Bw. Medard Ngaiza wakifuatilia mazungumzo kati ya Balozi Mulamula na Balozi Zhong Jianhua...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziKatibu Mkuu Wizara ya mambo ya nje akutana kwa mazungumzo na wageni mbalimbali waliotembelea Wizarani
9 years ago
Dewji Blog07 Nov
Balozi Mulamula akutana na Wageni mbalimbali Wizarani
10 years ago
MichuziKatibu Mkuu wa Mambo ya Nje akutana kwa mazungumzo na Mwakilishi wa IFAD nchini
5 years ago
MichuziKATIBU MKUU BALOZI KANALI IBUGE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA VIETNAM
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje naUshirikiano wa Afrika Mashariki BaloziCol. Wilbert A. Ibuge katikati akimkaribisha Balozi wa Vietnam chini Mhe.Nguyen Kim Doanh katika ofisi za Wizara Jijini Dodoma alipofika kuitikia wito wa Katibu Mkuu kulia ni KaimuMkurugenzi anayeshughulikianchi za Asia na AustralasiaBw. Ceasar Waitara.
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje naUshirikiano wa Afrika Mashariki BaloziCol. Wilbert A. Ibuge (kulia) akizungumza na Balozi wa Vietnam chini Mhe.Nguyen Kim Doanh...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ivW7P8YJxjM/XqbxgYY2UKI/AAAAAAALoY8/wEsNmh5aom0mPlnOzrWhcD3jlwVNTML0wCLcBGAsYHQ/s72-c/f9563c56-00d5-4c2f-b971-22afeacf0444.jpg)
DKT ZAINAB CHAULA, KATIBU MKUU MPYA AWASILI WIZARANI MAWASILIANO
❖ Serikalini Ni Kama Nyumba, Amehamia Chumba Kingine
❖ Amewataka Wafanyakazi Wasiwe na Hofu kwa Kuwa Corona ni Mafua Tu
Na Prisca Ulomi, WUUM, Dodoma
Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Sekta ya Mawasiliano, Dkt. Zainab Chaula, amewasili rasmi leo Wizarani hapo Mji wa Serikali, Mtumba, Dodoma kwa mara ya kwanza tangu alipoteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Sekta hiyo mara baada ya kuhamishwa kutoka Wizara ya Afya,...
9 years ago
MichuziRAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA WAGENI MBALIMBALI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
9 years ago
CCM BlogRAIS DK. MAGUFULI AKUTANA NA WAGENI MBALIMBALI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO, NI MUFT, GAC, BULEMBO NA DPP.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-iSKynTDTb-Y/VQmI4IzBMMI/AAAAAAAHLSc/Yt2maeQgSP4/s72-c/unnamed%2B(35).jpg)
KATIBU MKUU WIZARA YA UJENZI AIPONGEZA JICA KWA UFADHILI WA MIRADI MBALIMBALI YA BARABARA NCHINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-iSKynTDTb-Y/VQmI4IzBMMI/AAAAAAAHLSc/Yt2maeQgSP4/s1600/unnamed%2B(35).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-lcK-IIMwllI/VQmI4fmy-tI/AAAAAAAHLSk/DuyNmQfhQ8w/s1600/unnamed%2B(36).jpg)
5 years ago
MichuziKATIBU MKUU BALOZI KANALI IBUGE AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA TAIFA LA ISRAEL KWA TANZANIA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Taifa la Israel kwa Tanzania Mhe. Oded Joseph ambaye analiwakilisha Taifa hilo kutokea Nairobi, Kenya.
Kanali Balozi Ibuge katika mazungumzo hayo amweleza Balozi Oded, kuhusu hatua zinazoendelea kuchukuliwa na Serikali katika kukakabiliana na kusambaa kwa COVID-19 na madhara sambamba na madhara cake.Aidha, pamoja na mambo mengine Wawili hao katika...