Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KATIBU MKUU WA CCM: KATIBA MPYA TUNAITAKA,LAKINI ISIWE YA KUKOROGA VICHWA VYA WATU

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikagua nyumba hiyo ya zamani iliyokuwa inatumiwa na Mfugaji Mihangwa, kabla ya kujenga nyumba ya kisasa katika Kijiji cha Heka, wilayani Manyoni Singida.   Kinana akiangalia mifungo ya Mfugaji Mihangwa iliyobakia baada ya kuuza mingine kwa ajili ya kujenga nyumba ya kisasa. Mihangwa  anasema aliamua kuuza ng'ombe 200 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba hiyo ya kisasa.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KATIBA MPYA TUNAITAKA,LAKINI ISIWE YA KUKOROGA VICHWA VYA WATU-KATIBU MKUU WA CCM,KINANA

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Stendi ya Manyoni, wllayani Manyoni, Singida leo. "Katiba tunaitaka, lakini isiwe ya  mazingaombwe ya kukoroga vichwa vya watu. ndugu msitoane macho, tusing'oane meno kwa ajili ya katiba ambayo hata ikija mpya haiwezi kugeuza chai ya rangi kuwa ya maziwa"  alisema Kinana akatika mkutano huo.Ndugu Kinana yupo mkoani humo kwa ziara ya siku 8 akitokea mkoani Tabora ambako alikuwa na ziara ya siku 11.

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI ATEMBELEA KIWANDA CHA KUTENGENEZEA BREAKPAD ZA VICHWA VYA TRENI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt Shaaban Mwinjaka (wa nne kutoka kushoto), akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni Miliki ya Rasilimali za Reli (RAHCO), Mhandisi Benhadard Tito, wakati akimwelezea namna kiwanda cha kutengenezea breakpad za vichwa vya treni kilivyokuwa kinafanya kazi, na sasa hakifanyi kazi, wakati Katibu Mkuu huyo alipotembelea kiwanda hicho leo asubuhi, Katibu Mkuu ameipa wiki mbili kampuni hiyo na Shirika la Reli Tanzani (TRL) kuuanda timu na kufanya tathmini ya...

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI ATEMBELEA KARAKANA YA KUTENGENEZEA BREAKPAD ZA VICHWA VYA TRENI LEO JIJINI DAR

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi atembelea karakana kutengenezea breakpad za vichwa vya treni kinachomilikiwa na kampuni miliki ya rasilimali za Reli(RAHCO) leo asubuhi jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt Shaaban Mwinjaka (wa nne kutoka kushoto), akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni Miliki ya Rasilimali za Reli (RAHCO), Mhandisi Benhadard Tito, wakati akimwelezea namna karakana ya  kutengenezea breakpad za vichwa vya treni kilivyokuwa kinafanya kazi, na sasa...

 

11 years ago

Habarileo

Katiba mpya isiwe ugomvi

RAIS Jakaya Kikwete amesema Katiba mpya haitapatikana kwa ngumi na mateke na wala si ugomvi, bali itapatikana kwa ushawishi wa hoja na kura.

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDANI YA VISIWA VYA UKEREWE


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Kakukuru,Ukerewe ikiwa siku ya mwisho ya ziara yake mkoani Mwanza.Katibu Mkuu amekamilisha ziara ya kutembelea majimbo yote ya Uchaguzi nchi nzima ambapo amejionea utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi unavyooendelea pamoja na uhai wa Chama Cha Mapinduzi. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Magessa Mulongo akihutubia wakazi wa Kakukuru wilayani Ukerewe. Wakazi wa Kakukuru ,Ukerewe wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM ndugu Abdulrahman Kinana...

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NDANI YA VISIWA VYA UKEREWE JIJINI MWANZA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwapungia wakazi wa kijiji cha Sambi kata ya Irugwa, wilayani Ukerewe waliojitokeza kwa wingi kumpokea ,Kinana ameweka historia kwa kuwa kiongozi wa kwanza kufika katika kisiwa hicho akiwa kwenye ziara ya kukagua,kuhimiza na kusimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi pamoja na kukagua uhai wa Chama. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimina na mmoja wa wakazi wa kata ya Irungwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani