KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIRA YAKE WILAYANI MULEBA MKOANI KAGERA.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana na Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini.Prof Anna Tibaijuka pamoja na mkuu wa mkoa wa Kagera,John Mongella wakishiriki katika kazi ya utandazaji wa umeme wa REA katika shule ya sekondari ya Nyakatanga,jimbo la Muleba Kaskazini mkoani Kagera wakati wa ziara ya Kuimarisha uhai wa chama,kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2010 pamoja kusikiliza kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi Umeme wa REA umesambazwa kwa kasi katika jimbo la Muleba...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NA UJUMBE WAKE ATEMBELEA VISIWA VINNE WILAYANI MULEBA MKOANI KAGERA
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYANI PANGANII MKOANI TANGA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimtwisha dumu la maji mmoja wa wakazi wa kata ya Mkalamo
Wananchi wa Kata ya Mkalamo wakichota maji safi na salama kwenye mradi wa maji ya kisima kilichogharimu zaidi ya shilingi milioni 29 ambacho kimefadhiliwa na hifadhi ya Taifa ya Saadani.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki...
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYANI MBULU MKOANI MANYARA
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE BUKOBA VIJIJINI LEO MKOANI KAGERA.
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWASILI WILAYANI BABATI LEO, AENDELEA NA ZIARA YAKE MKOANI MANYARA
10 years ago
MichuziZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA WILAYANI MISSENYI MKOANI KAGERA.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiteremka kwenda kuona chanzo cha maji kwenye eneo la Ukolobe kijiji cha Rukurungo kata ya Bugandika wilaya ya Missenyi mkoani Kagera.
Katibu Mkuu wa...
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWASILI WILAYANI IRAMBA LEO,AENDELEA NA ZIARA YAKE
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE JIMBO LA KIBAKWE WILAYANI MPWAPWA.
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA HAI MKOANI KILIMANJARO