Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Katibu wa CCM aliyejeruhiwa aendelea kutibiwa

KATIBU wa UVCCM, Kata ya Majengo, Wilaya ya Kahama, Sebastian Masonga (34) anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando alikolazwa baada ya kupigwa na watu wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Chadema akitoka kwenye kampeni za udiwani wilayani humo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,AENDELEA NA ZIARA YAKE MKOANI KIGOMA.

Katibu Mkuu wa CCM;Ndugu Kinana na Wananchi wakishiriki ujenzi wa Ghala la kuhifadhi mazao na mashine ya kusaga nafaka katika kijiji cha cha Kidahwe,Kigoma Vijijini.Ghala hilo  linalenga kusaidia katika kuhifadhi mazao ya wakulima na kijiji hicho baada ya kuvuna ili kusubiri soko na bei nzuri ya mazao kwa mfumo wa stakabadhi ghalani.Usimikaji wa mashine katika ghala hilo utawasaidia  pia wakulima kuchakata mazao yao (hasa mahindi na muhugo) na kuuza unga badala ya mahindi.Gharama za mradi...

 

11 years ago

GPL

ABDULRAHMAN KINANA KATIBU MKUU WA CCM AENDELEA NA ZIARA RUFIJI‏

Katibu Mkuu wa CCM  Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Juma Abeid Diwani wa Kata ya Magawa wilayani Mkuranga wakati alipotembelea shamba la Mikorosho lenye hekari 1000 ambapo mikorosho inayokaribia elfu 20 imeharibika vibaya baada ya kupata ugonjwa unaonyausha mikorosho hiyo , Diwani huyo amesema wananchi wa kata hiyo wako katika hali mbaya kwakuwa zaidi ya miaka minne sasa hawajavuna chochote na maisha yao...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA TEMEKE LEO

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akizungumza na Wajasiliamali-VICOBA mbalimbali katika mkutano uliofanyika mapema leo asubuhi  ndani ya ukumbi wa Kata ya 15,katika Wilaya ya Temeke.Kinana aliwapongeza VICOBA hao kwa kuchapa kazi nzuri na kuwa waaminifu katika mazingira yao ya kufanya kazi.Aidha amewataka akina mama na vijana mbalimbali kutobweteka na badala yake wajitume kufanya kazi,katika suala zima la kujipatia maendeleo yao sambamba na kujikwamua na Umaskini.Ndugu Kinana...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU WA CCM MKOA WA IRINGA AENDELEA KUVURUGA MIPANGO YA WAPINZANI KATIKA JIMBO LA ISMANI

 Katibu wa CCM mkoa wa Iringa, HASSAN MTENGA akijibu maswali ya wananchi wa tarafa ya pawaga.
Na Fredy Mgunda,Iringa
Katibu wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Iringa, Hassani Mtenga amewataka wananchi wa tarafa ya Pawaga katika jimbo la Isimani kuendelea kumwamini Mbunge wa jimbo hilo kwa kuwa anawatendea haki kwa kuwaletea maendeleo.
akizungumza katika mkutano huo, MTENGA amewataka wananchi kuendelea kukiamini chama hicho kutokana na kutekeza ahadi zao ambazo wanakuwa wanaziahidi kwa...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYANI PANGANII MKOANI TANGA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikinga maji wakati wa kuzindua mradi wa maji wa kata ya Mkalamo wilaya ya Pangani mkoani Tanga.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimtwisha dumu la maji mmoja wa wakazi wa kata ya Mkalamo
 Wananchi wa Kata ya Mkalamo  wakichota maji safi na salama kwenye mradi wa maji ya kisima kilichogharimu zaidi ya shilingi milioni 29 ambacho kimefadhiliwa na hifadhi ya Taifa ya Saadani.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE JIMBO LA KIBAKWE WILAYANI MPWAPWA.

Pichani Msafara wa Katibu Mkuu,Ndugu Abdulrahman Kinana ukielekea jimbo la Kimbakwe  Wilayani Mpwapwa mapema leo asubuhi kuendelea na ziara yake ya siku 9 mkoani Dodoma ya Kuimarisha uhai wa chama,kukagua na kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi 2010 pamoja na kusikiliza kero za Wananchi ikiwemo na kuzitafutia ufumbuzi.Mwenyekiti wa kikundi cha Mkombozi,Bwa.Athanas Kigosi akitoa maelezo mafupi mbele ya Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana,kuhusiana na shamba la mfano ambalo limepandwa...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE NDANI YA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI

 Akina mama wakiusimamisha msafara wa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana ili waeleza tatizo la kutopatikana maji tangu wazaliwe katika Kijiji cha Shimbumbu, Jimbo la Arumeru Mashariki, mkoani Arusha. Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa na akina mama waliobeba ndoo tupu ikiwa ni ishara ya kuelezea tatizo la maji linalowakabili wakazi wa Kijiji cha Shimbumbu  Jimbo la Arumeru Mashariki,wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYANI MBULU MKOANI MANYARA

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akizawadiwa meza yenye ramani ya Tanzania na Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya rufaa ya Haydom,Dkt.Olav Espegren.  Kinana pia alizungumza na Uongozi sambamba na Watumishi wa hospitali hiyo ya Rufaa ya Haydom wilayani Mbulu,mkoani Manyara.  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akimshukuru Diwani wa kata ya EShkesh kupitia chama cha CUF,Ndugu Naftari Kitandu alipohudhuria mkutano wa hadhara wa CCM,katika shule ya sekondari ya Yaeda chini,wilayani Mbulu mkoani...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWASILI WILAYANI IRAMBA LEO,AENDELEA NA ZIARA YAKE

 Katibu MKuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Iramba,Mh.Yahaya Nawanda katika kijiji cha Kiselya,wilayani Iramba,mkoani Singida,pichani kati ni Mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi,Mwigulu Nchemba.Kinana ameambatana na Katibu wa NEC Itikad,siasa na Uenezi Nape Nnauye,wakiwa kwenye ziara ya Kukagua kuhimiza na kusukuma miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Chama,kukagua maandalizi ya uchaguzi ya serikali za mitaa,kusikiliza kero za wananchi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani