Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kenya kuandaa Mashindano ya riadha 2017?

Kenya huenda ikatangazwa rasmi kuwa mwenyeji wa mashidano ya dunia ya riadha kwa vijana mwaka 2017.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Doha kuandaa mashindano ya riadha 2019

Mji mkuu wa Qatar Doha, utakuwa mwenyeji wa mashindano ya dunia ya riadha mwaka 2019 baada ya kuzipiku Barcelona na mji wa Eugene nchini Marekani zilizotaka kuandaa mashindano hayo.

 

10 years ago

Michuzi

KLABU YA MICHEZO YA RIADHA YA DAR ES SALAAM ‘DAR RUNNING CLUB’ YAANDAA MASHINDANO YA RIADHA YA MARATHON 02 MAY 2015

Klabu ya michezo ya riadha ya Dar Es Salaam “Dar Running Club” (DRC) imeandaa mashindano  ya  mbio yajulikananyo kama “Mayday marathon” yatakayofanyika tarehe 02Mei 2015 yatakayoanza na kumalizika katika viwanja vya Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay (Police Officers Mess). Mgeni rasmi atakuwa ni Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania  Inspekta Generali wa Police Ernest Jumbe Mangu (IGP).
Akizungumza na waandishi wa habari Mlezi wa Klabu ya DRC Mkuu wa mkoa wa kipolisi wa Kinondoni bwana Camillus...

 

10 years ago

Mwananchi

TFF yaomba kuandaa Afcon 2017

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limetangaza nia ya kuandaa Fainali za Mataifa ya Afrika za 2017 baada ya Libya kujitoa kwa kutokana na sababu za kiusalama.

 

10 years ago

BBCSwahili

Nani kuandaa fainali za Afcon 2017?

Mwenyeji wa fainali za Afcon za mwaka 2017 atajulikana leo, Jumatano, kwa kuzipigia kura Algeria, Gabon na Ghana

 

10 years ago

BBCSwahili

IAAF:Marekani kuandaa riadha mwaka 2021

Marekani itaanda mashindano ya riadha duniani kwa mara ya kwanza mwaka 2021.

 

11 years ago

GPL

MASHINDANO YA RIADHA YA TAIFA YAFANYIKA DAR

  Juma Shabbani toka Tabora aliyeshinda nafasi ya tatu katika mbio za mita 200 na 400. Mmoja wa wanariadha akifanya mazoezi katika Uwanja wa Taifa Dar.   Walemavu wakijianda…

 

10 years ago

Michuzi

DK. SHEIN AFUNGUA MASHINDANO YA RIADHA ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wakati aliupowasili katika Uwanja wa Amaan Studium kufungua Mashindano ya Riadha ya Wilaya kumi za Unguja na Pemba leo.Wachezaji wa riadha wa wilaya ya wete Pemba wakipita kwa maandamano mbele ya mgeni rasmi Rais wa wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Zanzibar na Mwenyekiti Mohamed Shein kabla ya kuyafungua mashindano ya mchezo huo kwa Wilaya kumi za Unguja na Pemba leo katika uwanja wa Amaan...

 

11 years ago

Michuzi

RIADHA TABORA WAJIFUA KWA AJILI YA MASHINDANO YA TAIFA

Timu ya Riadha ya Mkoa wa Tabora ikiwa kwenye mazoezi makali katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora ikijiandaa kushiriki mashindano ya riadha taifa yanayotarajiwa kuanza mwishoni mwa wiki hii jijini Dar.
Na Allan Ntana,Tabora
TIMU ya Riadha ya mkoa wa Tabora ipo katika mazoezi makali kujiandaa na mashindano ya Riadha Taifa yanayotarajiwa kuanza kutimua vumbi mwishoni mwa wiki hii jijini Dar e s salaam.
Katibu wa chama hicho Mkoa wa Tabora Salum Tarraddady, alisema jumla ya...

 

10 years ago

Michuzi

DK. SHEIN AFUNGA MASHINDANO YA RIADHA UWANJA WA AMAAN,ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi zawadi Mtoto Sofia Kombo Makame aliyekimbia umbali wa kilomita nyingi kutokana na umri wake katika mashindano ya Riadha zawadi hiyo alipewa wakati wa ufungaji wa Mashindano ya Riadha katika Wilaya kumi za Unguja na Pemba katika uwanja wa Amaani Studium leo Mjini Unguja.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikabidhi Kombe la Ushindi wa Jumla kwa Kassim Hussein Saleh na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani