Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kenya washangazwa kwa utulivu wa Watanzania

WAANGALIZI kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wameelezea kushangazwa na amani na utulivu uliokuwepo wakati wa kupiga kura. Kiongozi wa Timu ya Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu kutoka EAC, Moody Awori, ambaye pia ni Makamu wa Rais mstaafu wa Kenya amemueleza hayo Rais Jakaya Kikwete alipofika Ikulu jana mchana.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Wasira asifu amani na utulivu kwa Watanzania

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wasira, amesema Watanzania wamebarikiwa amani, umoja na utulivu ndiyo maana kila jambo wanalolifanya linafanikiwa bila matatizo. Wassira alisema miongoni mwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Modewjiblog: Hongera watanzania kupiga kura kwa amani na utulivu, sasa tujiandae kupokea matokeo!

Tanzania-Flag-Wallpapers

Na Andrew Chale, Modewjiblog

Jumapili ya Oktoba 25, 2015, Taifa la Tanzania tumeshuhudia wananchi wake wakipiga kura kuwachagua viongozi  katika Uchaguzi Mkuu wa madiwani, wabunge pamoja na kumpata Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Uchaguzi huu wa amani na huru umeweza kufanyika katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania, sasa hatua inayofuata ni ya Mamlaka husika ambao ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC na ZEC) kwa upande wa Zanzibar ambao ndio wenye majukumu ya kutoa...

 

10 years ago

Habarileo

Watanzania watakiwa kulinda amani, utulivu

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWATANZANIA wametakiwa kulinda amani ya nchi kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo ili kuliletea taifa maendeleo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mameneja washangazwa na kufutwa kwa Mourinho

Mameneja wa klabu za Ligi Kuu ya Uingereza wameeleza kushangazwa kwao na hatua ya Chelsea kumfuta kazi meneja Jose Mourinho.

 

9 years ago

StarTV

Watanzania wahimizwa kuendelea kuilinda misingi ya amani na utulivu.

Muhubiri wa kimataifa dokta Egon Falk amesema amani iliyopo nchini Tanzania itaendelea kuwepo miaka mingi ijayo kutokana na misingi imara iliyowekwa.

Amesema misingi hiyo ni ile inayopiga vita ukabila na udini ambayo imewekwa na viongozi wazalendo wenye nia njema na taifa hili.

Katika maombi yake ya kuombea amani nchi ya Tanzania  aliyoyafamya katika kijiji cha Gitting wilayani Hanang mkoani Manyara, dkt Falk anasema  watanzania wana kila sababu ya kujivunia utulivu huo.

Aidha katika...

 

10 years ago

Dewji Blog

Balozi wa Algeria aliyemaliza muda wake awatakia Watanzania mwaka wa utulivu

aa2

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kisha kuagana na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Djelloul Tabel,  Ikulu jijini Dar es Salaam, Jumanne jioni January 13, 2014 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.(PICHA NA IKULU).

Balozi wa Algeria ambaye aliyemaliza muda wake wa utumishi katika Tanzania, Mheshimiwa Tabat Jallouh amewatakia Watanzania mwaka wa mafanikio, amani na utulivu wa 2015, kwa kadri nchi inavyopitia katika mabadiliko makubwa ya kisiasa kwa...

 

10 years ago

CloudsFM

MAREKANI WASHANGAZWA NA STORI ZA T.I KUHUSU TANZANIA, AKANUSHA KUWEPO KWA EBOLA

STAA wa Hip Hop kutoka nchini Marekani T.I Jumamosi iliyopita alipafomu kwenye tamasha la serengeti fiesta kinondoni, leaders club, ikiwa ni siku mbili tu kabla ya kuachia album yake iitwayo ‘’paper work’’, na ilikuwa ni katika kipindi ambacho Wamarekani wengi walikuwa wanaamini Afrika nzima inakabiliwa na gonjwa la Ebola.
Baada ya kurudi Marekani msanii huyo amekuwa akiulizwa mara nyingi kuhusu ishu hiyo ya Ebola na yeye amekuwa balozi mzuri wa Tanzania kwa kukanusha uvumi ambao huenda...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania matatani kwa dawa za kulevya Kenya

WATANZANIA wanne wamekamatwa na dawa za kulevya kwenye Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta nchini Kenya. Polisi wa Kenya waliwakamata Watanzania hao juzi wakiwa na dawa aina ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Watanzania 2 wazuiwa kuingia nchini Kenya huku idadi ya wagonjwa Kenya ikifikia 715

Raia wawili wa Tanzania wamezuiwa kuingia nchini Kenya katika mpaka wa Isibania baada ya kukutwa na virusi vya corona, kulingana na wizara ya afya nchini humo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani