Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania matatani kwa dawa za kulevya Kenya

WATANZANIA wanne wamekamatwa na dawa za kulevya kwenye Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta nchini Kenya. Polisi wa Kenya waliwakamata Watanzania hao juzi wakiwa na dawa aina ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Watumishi 11 vitengo dawa za kulevya matatani

WATUMISHI 11 wa vitengo vya kuthibiti dawa za kulevya wamekamatwa ama kuhusishwa na biashara ya dawa za kulevya kati ya mwaka 2012 na 2013. Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa...

 

5 years ago

Michuzi

Tanzania yashiriki Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) jijini Vienna, Austria

Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Madawa ya Kulevya Bw.james Kaji akiwasilisha hotuba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) kuhusu utekelezaji wa mikataba mbalimbali ya Kimataifa ya Madawa ya Kulevya. Tanzania katika mkutano huu, unaofanyika Vienna, Austria,imekuwa ni mfano bora wa namna ambavyo wameweza kujiimarisha katika Mapambano Dhidi ya...

 

5 years ago

Michuzi

KIGOGO BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA AMBAYE NI RAIA WA NIGERIA ANASWA JIJINI DAR, WAMO PIA WATANZANIA WAWILI...



Watuhumiwa wa biashara ya dawa za kulevya wakiwa chini ya ulinzi baada ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini kuwanasa jijini Dar es Salaam.Tanki la maji machafu ambalo lilitengenezwa na watuhumiwa hao wa biashara ya dawa za kulevya kwa ajili ya kuwekea dawa hizo kama sehemu ya kuzificha.Hata hivyo tanki hilo walichelewa kulikamisha na hivyo dawa hizo kuzihifadhi ndani ya nyumba.
 
Na Ripota Wetu,Michuzi TV

MAMLAKA ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya jana...

 

5 years ago

Michuzi

UPELELEZI KATIKA KESI YA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA ZAIDI YA KILO 270 INAYOMKABILI RAIA WA NIGERIA, WATANZANIA WAWILI BADO HAUJAKAMILIKA


Na Karama Kenyunko, Michuzi TV

UPELELEZI katika kesi ya kukutwa na dawa za kulevya zaidi ya kilo 270 inayomkabili Raia wa Nigeria, David Chukwu (38) na Watanzania wawili katika  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu bado haujakamilika.

Mbali na Chukwu ambaye ni Mkazi wa Masaki, washitakiwa wengine ni Isso Lupembe (49) Mkazi wa Mbezi na Allistair Mbele (38).

Wakili wa Serikali, Ester Martin alidai jana mbele ya Hakimu Mfawidhi Godfrey Isaya kuwa kesi hiyo imekuja kwa ajili ya kutajwa na kwamba...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mlemavu mbaroni kwa dawa za kulevya

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linamshikilia Said Tidwa (36), mkazi wa Vijibweni, Temeke kwa tuhuma za kufanya biashara ya dawa za kulevya. Akizungumza na waandishi wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya yajadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014

PIX 1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia mambo ya Bunge, Sera na Uratibu Mhe. William Lukuvi akifungua kikao cha Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kujadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014 kilichofanyika 22/01/2015 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

PIX 2

Baadhi ya wadau toka Taasisi mbalimbali zisizo za Kiserikali wakichangia mada kupitia vifungu mbalimbali vya Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Wairani kortini kwa dawa za kulevya kilo 41

Raia 12 wa Iran wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakituhumiwa kuingiza nchini dawa za kulevya aina ya Heroin Hydrochloride zenye thamani ya zaidi ya Sh2 bilioni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani