Kero za Muungano zilizosalia zatajwa
MAKAMU wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Iddi ametaja kero za Muungano zilizo katika hatua za mwisho za ufumbuzi huku akieleza kwamba nyingi zimepatiwa ufumbuzi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi13 Mar
‘Kero zisivunje Muungano wetu’
11 years ago
Habarileo07 May
Kitabu kero za Muungano chaandaliwa
WAKATI Muungano ukiwa hoja kuu katika mchakato wa Katiba mpya uliofikia katika ngazi ya mjadala wa Bunge Maalumu, Serikali imeandaa kitabu maalumu kinachoelezea historia, utekelezaji wa mambo ya Muungano, mafanikio, changamoto, fursa na matarajio ya Muungano kwa miaka ijayo.
10 years ago
Mtanzania24 Apr
Samia: Kero tatu za muungano hazijatekelezwa
Na Jonas Mushi na Tunu Nassor, Dar es Salaam.
LICHA ya kutimiza miaka 51 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, imeelezwa mambo matatu bado hayajatekelezwa ndani ya muungano.
Mambo hayo, ni pamoja na masuala ya kodi, mahusiano ya kifedha na usajili wa vyombo vya moto.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dar es Salaam jana, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais ( Muungano), Samia Suluhu Hassan alisema pamoja na mafanikio ya Muungano bado mambo hayo hayajapata ufumbuzi wa kudumu kwa...
10 years ago
Habarileo29 Jan
Samia asema kero za Muungano zimetatuliwa
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano, Samia Suluhu Hassan amesema Katiba Inayopendekezwa sasa imezipatia ufumbuzi wa moja kwa moja kero za Muungano zilizokuwepo awali, ambazo ziliibua malalamiko mengi kutoka kwa Zanzibar.
11 years ago
Mwananchi28 Mar
Bavicha ‘yaivaa’ CCM kero za Muungano
11 years ago
Habarileo22 Apr
Waziri-Kero za Muungano zabaki tatu
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema kero za Muungano zimebakia tatu baada ya kufanyiwa kazi kwa lengo la kujenga muungano imara.
11 years ago
Habarileo20 May
Wawakilishi wataka kero za Muungano zitatuliwe
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi, wametaka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), kupatia ufumbuzi kero za Muungano, ambazo baadhi yake zimekuwa zikirudisha nyuma maendeleo ya wananchi na kupambana na umasikini.
10 years ago
Habarileo28 Oct
Katiba Inayopendekezwa ni jibu kero za Muungano-Waziri
WAZIRI wa Ardhi, Makazi, Maji na Nishati wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Ramadhani Abdallah Shaaban amesisitiza kuwa ardhi ya Zanzibar haijauzwa na itatumika kwa maslahi ya Wazanzibari ambapo sasa ni `ruksa’ kuchimba rasilimali ya mafuta na gesi.
11 years ago
Tanzania Daima28 Mar
Kado kukosa mechi zilizosalia Ligi Kuu
KIPA mahiri wa timu ya Coastal Union ya Tanga, Shaaban Kado, atakosa mechi za Ligi Kuu Bara zilizobaki kutokana na kufungwa plasta ngumu (POP) mkono wake wa kushoto. Kado alipata...