KHADIJA KOPA AWACHANA WASIOHESHIMU WAUME

Stori: Shakoor Jongo MALKIA wa muziki wa Taarab Afrika Mashariki, Khadija Omary Kopa amewachana mastaa wa kike wasioheshimu waume zao kwa usupastaa wao, akisema suala hilo limewafanya washindwe kudumu katika ndoa zao. Malkia wa muziki wa Taarab Afrika Mashariki, Khadija Omary Kopa. Malkia huyo alitoa dongo hilo juzikati wakati alipokuwa akipagawisha mashabiki wake katika ukumbi wa Meeda uliopo Sinza Mori jijini Dar...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
SIMULIZI TAMU YA KHADIJA KOPA - 8
11 years ago
GPL
MBOTO APAGAWISHWA NA KHADIJA KOPA
11 years ago
GPL
SIMULIZI TAMU YA KHADIJA KOPA-3
11 years ago
GPL
SIMULIZI TAMU YA KHADIJA KOPA-4
11 years ago
GPL
SIMULIZI TAMU YA KHADIJA KOPA - 5
11 years ago
GPL
SIMULIZI TAMU YA KHADIJA KOPA -6
11 years ago
GPL
SIMULIZI TAMU YA KHADIJA KOPA - 6
10 years ago
GPL
SIMULIZI TAMU YA KHADIJA KOPA-9
11 years ago
GPL
SIMULIZI TAMU YA KHADIJA KOPA