SIMULIZI TAMU YA KHADIJA KOPA-9
ILIPOISHIA.. Mbele yake kasimama mwanaume wa Kipemba, yupo hapo kwa kuwa alikuwa akihitaji kuwa mpenzi wake na mwisho wa siku amuoe. Kwa Khadija, kumkubalia mwanaume kwa wakati huo ilikuwa ngumu kwani bado alikuwa na ndoto za kufika mbali kimuziki. ENDELEA... Malkia wa mziki wa taarabu, Khadija Omary kopa “Si kwamba ninaogopa, bado kuna mengi ninatakiwa kuyafanya,†nilimwambia. “Kwani nikikuoa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLSIMULIZI TAMU YA KHADIJA KOPA - 6
ILIPOISHIA: Bado Khadija Kopa anaendelea kusimulia historia ya maisha yake, kule alipopitia mpaka kuja kuwa mwanamuziki mkubwa wa Muziki wa Mwambao. Wiki iliyopita tuliishia pale alipokuwa akisema namna alivyoingia shuleni na kuanza kidato cha kwanza. Yalikuwa ni maisha mapya lakini hakutaka kukata tamaa.endelea... Sikuwa nimezoea maisha ya shuleni hapo, nilikuwa mkimya sana na kwa kiasi fulani nilianza kunenepa. Hatukuwa na...
10 years ago
GPLSIMULIZI TAMU YA KHADIJA KOPA -6
ILIPOSHIA
“Kuna nini? aliniuliza huku akionekana kutokuelewa chochote.
“Nimefaulu mtihaniâ€.“Unasemaje?â€â€œNimefaulu mtihani bibi,†nilimwambia kwa furaha, bibi akaonekana kuwa na furaha zaidi yangu. Sasa nikamsubiria mama naye nilitaka kumpa taarifa hiyo.ENDELEA.. Malkia wa mipasho bongo, Khadija Kopa Nakumbuka siku hiyo nilikuwa na presha kubwa, nilikuwa nikimsubiria mama kwa shauku...
10 years ago
GPLSIMULIZI TAMU YA KHADIJA KOPA - 5
ILIPOSHIA
Iliishia pale Khadija aliposema kwamba tayari alimaliza kufanya mtihani wa darasa la saba na hivyo kuelekea nyumbani. Huko, akamkuta mama yake, ilikuwa ni furaha mno kwani mapenzi juu ya mama yake yalikuwa makubwa.
ENDELEA.. Malkia wa…
10 years ago
GPLSIMULIZI TAMU YA KHADIJA KOPA - 7
Bado Khadija Kopa anaendelea kusimulia simulizi ya maisha yake. Yupo shuleni, anatamani kuimba, anapofanya hivyo, wanafunzi hasa wa kike wanaonekana kumuonea wivu na hivyo kumfunja moyo, kitu cha ajabu kwake, wavulana ndiyo waliokuwa wakimfariji, alipoambiwa hajui, wao walimwambia anajua kwani hata mbuyu ulianza kama mchicha.ENDELEA NAYOÖ AZIDI KUKERWA
Ngoja niseme ukweli kwamba kwa maneno ambayo alikuwa akiyazungumza siku...
10 years ago
GPLSIMULIZI TAMU YA KHADIJA KOPA
BAADA ya wiki iliyopita kumaliza simulizi tamu ya mwimba Injili mahiri nchini, Bahati Bukuku, wiki hii tunaye malkia wa mipasho Bongo. Si mwingine bali ni Hadija Omar Kopa. Kopa alizaliwa mwaka 1963, Unguja, Zanzibar. Maisha yake yalikuwa ya kawaida sana. Kwa sehemu kubwa alilelewa na bibi yake mzaa mama, aitwaye Biubwa Juma. Katika simulizi hii, Kopa anaanza kusimulia siku alipoanza daraza la kwanza. Malkia wa mipasho Bongo,...
10 years ago
GPLSIMULIZI TAMU YA KHADIJA KOPA-4
ILIPOISHIA
Khadija Kopa alizungumzia hali aliyokuwa nayo mara baada ya kutorokwa na mama yake, Hakuwa na hamu ya kula, hakutaka kuongea na mtu yeyote, mapenzi juu ya mama yake yalikuwa makubwa.
ENDELEA... Malkia wa Taarab nchini, Khadija Kopa. Kama kusoma nilisoma sana japokuwa kila siku mawazo juu ya mama yangu…
10 years ago
GPLSIMULIZI TAMU YA KHADIJA KOPA-3
MAPENZI YA MAMA YAMTESA, MWENYEWE AMTOROKA
ILIPOISHIA
Khadija Kopa aliishia pale aliposema kwamba katika kipindi hicho ndicho alipogundua kwamba mbali na ukimya wake, uoga wake lakini Mungu alikuwa amempa kipaji cha uimbaji. Hivyo aliamini kwamba kingeweza kumsaidia katika maisha yake ya baadaye. Malkia wa miondoko ya taarabu, Bi Khadija Omari Kopa. ENDELEA... Nilipofika darasa… ...
10 years ago
GPLSIMULIZI TAMU YA KHADIJA KOPA - 8
ILIPOISHIA..
Bado Khadija anaendelea kusimulia historia ya maisha yake. Ametoka mbali, ameishia pale alipojiunga na Bendi ya Culture Music All Club ambayo ilikuwa ikitumbuiza Zanzibar tu.
Hapo ndipo uwezo wake ulipoonekana zaidi na kuwachanganya kabisa watu.
ENDELEA...
Malkia wa mipasho bongo khadija omari kopa. Naendelea kuyakumbuka maisha yangu, kila ninapojiangalia na kuona hapa nilipofika, huwa ninamshukuru sana...
10 years ago
VijimamboKHADIJA KOPA NDANI YA MAJONZI
Khadija Kopa akilia kwa uchungu baada ya kukutana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwenye msiba wa kiongozi wa TOT na Mbunge wa Mbinga Magharibi Kapteni John Komba. Khadija Kopa (kulia) akiwa kwenye majonzi makubwa ya kuondokewa na Jabali la muziki wa kwaya nchini na kiongozi wa TOT Kapteni John Komba. Khadija Kopa (kulia) akilia kwa uchungu na wasanii wenzake wa TOT wakati wa kuhani msiba wa Kapteni John Komba
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Faceboo
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Faceboo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania