Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KHADIJA KOPA NDANI YA MAJONZI

 Khadija Kopa akilia kwa uchungu baada ya kukutana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwenye msiba wa kiongozi wa TOT na Mbunge wa Mbinga Magharibi Kapteni John Komba. Khadija Kopa (kulia) akiwa kwenye majonzi makubwa ya kuondokewa na Jabali la muziki wa kwaya nchini na kiongozi wa TOT Kapteni John Komba. Khadija Kopa (kulia) akilia kwa uchungu na wasanii wenzake wa TOT wakati wa kuhani msiba wa Kapteni John Komba
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Faceboo

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Khadija Kopa na Wana TOT ndani ya majonzi mazito

Khadija Kopa (kulia) akiwa kwenye majonzi makubwa ya kuondokewa na Jabali la muziki wa kwaya nchini na kiongozi wa TOT Kapteni John Komba.

Khadija Kopa (kulia) akiwa kwenye majonzi makubwa ya kuondokewa na Jabali la muziki wa kwaya nchini na kiongozi wa TOT Kapteni John Komba huku Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nauye akimfariji.

k5

Khadija Kopa (kulia) akilia kwa uchungu na wasanii wenzake wa TOT wakati wa kuhani msiba wa Kapteni John Komba.

 

10 years ago

GPL

KHADIJA KOPA NDANI YA KILI MUSIC TOUR 2014 LEADERS CLUB

Mwimbaji wa Taarab, Khadija Kopa akiwapagawisha mashabiki waliofurika katika Viwanja vya Leaders usiku huu katika Tamasha la Kili Music Tour 2014 jijini Dar. Mnenguaji wa Khadija Kopa akifanya yake stejini.…

 

10 years ago

GPL

SIMULIZI TAMU YA KHADIJA KOPA - 5

ILIPOSHIA
Iliishia pale Khadija aliposema kwamba tayari alimaliza kufanya mtihani wa darasa la saba na hivyo kuelekea nyumbani. Huko, akamkuta mama yake, ilikuwa ni furaha mno kwani mapenzi juu ya mama yake yalikuwa makubwa.
ENDELEA.. Malkia wa…

 

11 years ago

GPL

MBOTO APAGAWISHWA NA KHADIJA KOPA

Stori: Musa Mateja KOMEDIANI maarufu Bongo, Haji Salum ‘Mboto’ alijikuta akipagawishwa vilivyo na shoo ya Malkia wa Taarab Bongo, Khadija Kopa kiasi cha kushindwa kujizuia na kupanda jukwaani kuungana na wacheza shoo wake. Komedian maarufu Bongo, Haji Salum ‘Mboto’ akiwa jukwaani mara baada ya kupagawishwa vilivyo na shoo ya Malkia wa Taarab Bongo, Khadija Kopa. Tukio hilo lilitokea wikiendi iliyopita...

 

10 years ago

GPL

SIMULIZI TAMU YA KHADIJA KOPA - 7

Bado Khadija Kopa anaendelea kusimulia simulizi ya maisha yake. Yupo shuleni, anatamani kuimba, anapofanya hivyo, wanafunzi hasa wa kike wanaonekana kumuonea wivu na hivyo kumfunja moyo, kitu cha ajabu kwake, wavulana ndiyo waliokuwa wakimfariji, alipoambiwa hajui, wao walimwambia anajua kwani hata mbuyu ulianza kama mchicha.ENDELEA NAYOÖ AZIDI KUKERWA
Ngoja niseme ukweli kwamba kwa maneno ambayo alikuwa akiyazungumza siku...

 

10 years ago

GPL

SIMULIZI TAMU YA KHADIJA KOPA-3

MAPENZI YA MAMA YAMTESA, MWENYEWE AMTOROKA
ILIPOISHIA
Khadija Kopa aliishia pale aliposema kwamba katika kipindi hicho ndicho alipogundua kwamba mbali na ukimya wake, uoga wake lakini Mungu alikuwa amempa kipaji cha uimbaji. Hivyo aliamini kwamba kingeweza kumsaidia katika maisha yake ya baadaye. Malkia wa miondoko ya taarabu, Bi Khadija Omari Kopa. ENDELEA... Nilipofika darasa… ...

 

10 years ago

GPL

SIMULIZI TAMU YA KHADIJA KOPA - 6

ILIPOISHIA: Bado Khadija Kopa anaendelea kusimulia historia ya maisha yake, kule alipopitia mpaka kuja kuwa mwanamuziki mkubwa wa Muziki wa Mwambao. Wiki iliyopita tuliishia pale alipokuwa akisema namna alivyoingia shuleni na kuanza kidato cha kwanza. Yalikuwa ni maisha mapya lakini hakutaka kukata tamaa.endelea... Sikuwa nimezoea maisha ya shuleni hapo, nilikuwa mkimya sana na kwa kiasi fulani nilianza kunenepa. Hatukuwa na...

 

10 years ago

GPL

SIMULIZI TAMU YA KHADIJA KOPA -6

ILIPOSHIA
“Kuna nini? aliniuliza huku akionekana kutokuelewa chochote.
“Nimefaulu mtihani”.“Unasemaje?”“Nimefaulu mtihani bibi,” nilimwambia kwa furaha, bibi akaonekana kuwa na furaha zaidi yangu. Sasa nikamsubiria mama naye nilitaka kumpa taarifa hiyo.ENDELEA.. Malkia wa mipasho bongo, Khadija Kopa Nakumbuka siku hiyo nilikuwa na presha kubwa, nilikuwa nikimsubiria mama kwa shauku...

 

10 years ago

GPL

SIMULIZI TAMU YA KHADIJA KOPA - 8

ILIPOISHIA..
Bado Khadija anaendelea kusimulia historia ya maisha yake. Ametoka mbali, ameishia pale alipojiunga na Bendi ya Culture Music All Club ambayo ilikuwa ikitumbuiza Zanzibar tu.
Hapo ndipo uwezo wake ulipoonekana zaidi na kuwachanganya kabisa watu.
ENDELEA...
Malkia wa mipasho bongo khadija omari kopa. Naendelea kuyakumbuka maisha yangu, kila ninapojiangalia na kuona hapa nilipofika, huwa ninamshukuru sana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani