Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kibano cha wagombea urais CCM hiki hapa

Masharti yaliyomo katika fomu za wagombea urais za CCM huenda yakawa mtihani kwa baadhi yao, hasa katika kipengele kinachohoji iwapo mgombea aliwahi kujiunga na chama kingine cha siasa zaidi ya Tanu na Afro Shiraz Party (ASP).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM MJINI DODOMA LEO, TANO BORA YA WAGOMBEA KUPATIKANA BAADA YA KIKAO HIKI

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM (CC) kinachoendelea hivi sasa kwenye Ukumbi wa White House, Makao Makuu ya CCM, Mjini Dodoma. Kikao hiki kinapitia majina yote 38 ya Watangaza nia ya kugombea Urais kwa tiketi ya CCM, ambapo majina matano yatapatikana baada ya kikao hiki.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM - Zanzibar, Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu Mwenyekiti wa CCM - Bara,...

 

10 years ago

Vijimambo

MBIO ZA URAIS HIKI NDICHO ALICHOKISEMA MAKONGORO JUU YA WAGOMBEA WENZIE.



Mbio za kusaka urais kwa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) zimezidi kushika kasi baada ya mtoto wa tano wa Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, Charles Makongoro Nyerere kujitosa kwenye kinyang’anyiro hicho.Wakati Makongoro akichukua uamuzi huo kwa mara ya kwanza katika historia ya familia ya Mwalimu Nyerere, mkoani Mbeya Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Kazi Maalumu, Profesa Mark Mwandosya naye ameingia kwenye mbio hizo.
Akitangaza nia yake katika eneo la Mwitongo kijijini Butiama jana,...

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA MWENZA WA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM) SAMIA SULUHU HASSAN AWANADI WAGOMBEA UBUNGE WA MAJIMBO YA MKOA WA KILIMANJARO

Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha Mapinduzi ,Samia Suluhu Hassan alipowasili uwanja wa Majengo mjini Moshi kwa ajili ya mkutano wake wa kampeni wa hadhara.Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika mkutano wa kampeni ya Mgombea Mwenza wa Chama cha Mapinduzi alifanya mkutano wake katika uwanja wa Majengo mjini Moshi.
Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi,Samia Suluhu Hassan akiwatambulisha wagombea Ubunge katika majimbo matatu ya Moshi mjini (Dais...

 

10 years ago

Mwananchi

Kilio cha taifa letu ni hiki hapa

Kuongozwa kwa fedha badala ya fikra, tumepotea njia salama, tupo gizani Kilio cha taifa letu ni uongozi! Ili tupige hatua kutoka hapa tulipo sasa, tunahitaji kiongozi bora, mzalendo na anayeishi maisha ya Watanzania.

 

11 years ago

Mwananchi

Uchambuzi wa daktari: Kilichochangia kifo cha Nasra hiki hapa

Wiki hii tumempoteza mtoto, Nasra Mvungi (4) aliyekuwa amefichwa katika boksi kwa miaka minne mjini Morogoro.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani