Kibarua kinachomkabili Rais Uhuru Kenyatta
Mashambulizi yamekuwa yakirindima kaskazini mwa Kenya huku Rais Uhuru Kenyatta akikabiliwa na shinikizo za kujizulu kwa kushindwa kukabiliana na utovu wa usalama
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA, AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA LA KENYA MZEE JOMO KENYATTA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa Mkuu wa Majeshi ya Kenya Jenerali Samson Mwathete katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo...
10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA, AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA LA KENYA HAYATI MZEE JOMO KENYATTA
Serikali ya Kenya na watu wake wameelezea shukrani zake kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa urafiki na ushirikiano thabiti aliouonyesha kwa watu wa Kenya katika kipindi cha miaka 10 ya uongozi wake. Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema hayo tarehe 5 Oktoba, 2015 katika Ikulu ya Nairobi wakati wa mazungumzo ya kiserikali. "I thank you, and on behalf of People of Kenya for your friendship and Cooperation that was reflected during your 10 years as President" Rais Kenyatta amemueleza Rais Kikwete...
10 years ago
Michuzi.jpg)
Rais Kikwete akutana na Rais Uhuru Kenyatta mjini Windhoek, Alhaj Mwinyi na Mzee Mkapa waungana naye sherehe za kuapishwa rais mpya wa namibia
.jpg)
.jpg)
.jpg)
11 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA MJINI DUBAI WAKIWA NJIANI KUREJEA NYUMBANI


11 years ago
Vijimambo08 Oct
Rais Uhuru Kenyatta mbele ya ICC

Yeye ni kiongozi wa kwanza wa taifa kuwasili mbele ya mahakama hiyo.
Kenyatta amefika mbele ya mahakama hiyo baada ya waendesha mashtaka kuishutumu serikali ya Kenya kukata kuwasilisha ushahidi muhimu. BBC
5 years ago
CCM Blog
RAIS MAGUFULI NA UHURU KENYATTA WAYAMLIZA

“Mimi na Kenyatta tumeongea kwenye simu tumeyamaliza, naagiza ndani ya wiki hii, Waziri wa Uchukuzi na Timu yake wakakutane na Waziri wa Kenya kule mpakani wakiwa na Wakuu wa Mikoa ya mipakani...
11 years ago
Mwananchi29 Jan
Westgate: Maswali kwa Rais Uhuru Kenyatta
>Wakenya wangali wanasubiri tume aliyoahidi Rais Uhuru Kenyatta baada ya tukio la kigaidi katika jengo la Westgate hasa baada ya uamuzi wa Kamati ya Bunge kuhusu Usalama, ambayo ilisema Serikali ya Kenya ilionywa takriban siku 19 kabla ya uvamizi huo lakini haikuchukua hatua yoyote.
10 years ago
BBCSwahili02 Jul
Uhuru Kenyatta ndio rais bora Afrika
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amechaguliwa na Muungano wa wanafunzi wa Vyuo vikuu barani Afrika AASU kama rais bora barani Afrika mwaka huu.
10 years ago
Mwananchi06 Dec
Rais Uhuru Kenyatta hana mashtaka ICC
Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai, ICC imetupilia mbali kesi ya jinai inayomkabili Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania