Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uhuru Kenyatta ndio rais bora Afrika

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amechaguliwa na Muungano wa wanafunzi wa Vyuo vikuu barani Afrika AASU kama rais bora barani Afrika mwaka huu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA, AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA LA KENYA MZEE JOMO KENYATTA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga.  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa Mkuu wa Majeshi ya Kenya Jenerali Samson Mwathete katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA, AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA LA KENYA HAYATI MZEE JOMO KENYATTA

Serikali ya Kenya na watu wake wameelezea shukrani zake kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa urafiki na ushirikiano thabiti aliouonyesha kwa watu wa Kenya katika kipindi cha miaka 10 ya uongozi wake. Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema hayo tarehe 5 Oktoba, 2015 katika Ikulu ya Nairobi wakati wa mazungumzo ya kiserikali. "I thank you, and on behalf of People of Kenya for your friendship and Cooperation that was reflected during your 10 years as President" Rais Kenyatta amemueleza Rais Kikwete...

 

11 years ago

Mtanzania

Uhuru Kenyatta ang’ara Afrika

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta

WASHINGTON, Marekani

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amewapiku marais wenzake wa Afrika Mashariki kwa kushika nafasi ya kwanza kwa ufanisi wa kazi, kwa mujibu wa utafiti wa Shirika la Gallup la nchini Marekani.

Utafiti huo ulitolewa jana ambapo licha ya Rais Kenyatta kuwa madarakani kwa kipindi cha mwaka mmoja ameweza kuwapiku wenzake waliodumu madarakani kwa muda mrefu.

Pamoja na Rais Jakaya Kikwete, kuingoza nchi kwa mwaka wa tisa sasa utafiti huo umeshindwa...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akutana na Rais Uhuru Kenyatta mjini Windhoek, Alhaj Mwinyi na Mzee Mkapa waungana naye sherehe za kuapishwa rais mpya wa namibia

 .Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya jijini Windhoek Namibia ambapo walihudhuria sherehe za kuapishwa Rais mpya wa Namibia.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake akikutana na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika Hoteli ya Safari Court jijini Windhoek Namibia jana.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi(kulia) na Benjamin William Mkapa(kushoto) katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Hosea Kutako jijini...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mataifa EAC yazingatie ulinzi wa Afrika — Uhuru Kenyatta

726

Wakuu wa Mataifa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakizindua kitabu rasmi cha Muongozo wa Majaji wa Jumuiya hiyo kwenye Mkutano wa 12 wa siku moja wa Jumuiya hiyo uliofanyika ukumbi wa Kimataifa wa Arusha { AICC }.

731

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kwa niaba ya Rais wa Zanzibar Dr. Ali Mohd Sheni akipokea kitabu wakati wa Mkutano wa Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Mkoani Arusha.

 749

Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamuhuri ya...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA MJINI DUBAI WAKIWA NJIANI KUREJEA NYUMBANI

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Uhuru Kenyatta walipokutana katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dubai waliposimama kwa muda wakiwa njiani kuelekea nyumbani wakitokea Washington DC, Marekani, walikohudhuria Mkutano wa Marekani na Wakuu wa nchi wa Afrika ulioandaliwa na Rais Barack Obama. Mama Salma Kikwete akisalimiana na Rais Uhuru Kenyatta walipokutana katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dubai waliposimama kwa muda wakiwa njiani kuelekea nyumbani wakitokea Washington DC,...

 

5 years ago

BBCSwahili

Uhuru Kenyatta: Mazungumzo na Marekani hayataathiri makubaliano ya biashara huru Afrika

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na mwenyeji wake Donald Trump wa Marekani wamekutana na kuratibu majadiliano ya mkataba wa biashara huru kati ya mataifa hayo mawili.

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI NA UHURU KENYATTA WAYAMLIZA

  “Juzi nilipigiwa simu na Kenyatta nikiwa bado Chato, akanipa pole na kujielezea mambo ya corona kidogo, leo pia mimezungumza nae pia, kuna kimgogoro kule mpakani mwa Kenya, Kenya ni Marafiki zetu, corona isiwe chanzo cha migogoro, sisi Marais tumeyamaliza”-Rais Magufuli akiwahutubia Wananchi Singida.

“Mimi na Kenyatta tumeongea kwenye simu tumeyamaliza, naagiza ndani ya wiki hii, Waziri wa Uchukuzi na Timu yake wakakutane na Waziri wa Kenya kule mpakani wakiwa na Wakuu wa Mikoa ya mipakani...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Uhuru Kenyatta mbele ya ICC

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amefika mbele ya mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC huko Hague, ambako anakabiliwa na mashtaka ya uhalifu dhidi ya binaadamu.

Yeye ni kiongozi wa kwanza wa taifa kuwasili mbele ya mahakama hiyo.

Kenyatta amefika mbele ya mahakama hiyo baada ya waendesha mashtaka kuishutumu serikali ya Kenya kukata kuwasilisha ushahidi muhimu. BBC

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani