Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIGOGO MANISPAA ALA MKONG'OTO

Dustan Shekidele, Moro Kichapo! Katika hali ya kushangaza, kigogo wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro mkoani hapa, Fatuma Mussa amejikuta akipokea mkong’oto wa aina yake kisha kunusurika kuchomewa nyumba moto na raia wenye hasira kali akidaiwa kumfanyia ukatili ‘hausigeli’ wake aliyejitambulisha kwa jina la Mariam Emmanuel.   ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1Ls9f32 ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Wahudumu NIDA kushushiwa mkong’oto

IKIWA imesalia siku moja kukamilika kwa shughuli ya utoaji wa vitambulisho vya Uraia, wananchi wa Mtaa wa Mpakani Kata ya Kwembe Mbezi, jijini Dar es Salaam, wamesema watawapa mkong’oto wahudumu...

 

10 years ago

Mwananchi

Mgombea urais wa CCM apata mkong’oto

Tanga\Dodoma. Harakati za makada wa CCM wanaowania urais kusaka wadhamini mkoani zinaendelea kukumbwa na vituko baada ya wanamgambo wa chama hicho, maarufu kama Green Guards, kumshushia mkong’oto Dk Mussa Muzamill Kalokola aliyeingilia mkutano ulioandaliwa kwa ajili ya mgombea mwingine.

 

9 years ago

Mwananchi

Waziri atembeza mkong’oto, wengine wawili waanguka

Mawaziri wawili wa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete wameanguka kwenye marudio ya kura za maoni zilizofanyika juzi, huku matokeo ya Jimbo la Busega yakikwama baada ya Waziri wa Uvuvi na Maendeleo ya Mifugo, Dk Titus Kamani kumshambulia msimamizi wa uchaguzi.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Wamasai wala mkong’oto na watu wasiojulikana ZNZ

Habari tulozipata si muda mrefu kwamba Wamasai wamepewa kichapo na watu wasiojulikana Kundi la Wamasai 8 walikuwa katika ghasia hizo ambapo walikuwa wakishambuliwa ba kundi la Ubayaubaya. Ugomvi ulianzia mitaa ya Darajabovu ambapo Wamasahai hao walikabiliana […]

The post Wamasai wala mkong’oto na watu wasiojulikana ZNZ appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

JWTZ Waanza Mkong’oto Zanzibar,vituo muhimu vyaanza kulindwa

Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania, (JWTZ), wanaolinda Mnara wa Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Mapinduzi, wanatuhumiwa kuwatesa na kuwachapa viboko madereva na makondakta wa daladala wanaotumia kituo cha abiria cha Kisonge, mjini hapa. Malalamiko hayo […]

The post JWTZ Waanza Mkong’oto Zanzibar,vituo muhimu vyaanza kulindwa appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

GPL

NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI‏

John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi. It's Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band, Karibuni sana...

 

10 years ago

GPL

MKE WA OBAMA ASHEREHEKEA BETHIDEI YA MIAKA 5 YA KAMPENI YAKE YA 'LET'S MOVE' KWA DANSI

MKE wa Rais wa Marekani Barack Obama, Michelle Obama juzi Jumatatu alitoa shoo ya nguvu kwa kucheza wimbo wa Mark Ronson uitwao "Uptown Funk" akiwa sambamba na mastaa wa "So You Think You Can Dance". Michelle alikuwa akisherehekea bethidei ya miaka mitano ya Kampeni yake ya "Let's Move!" yenye lengo la kuondoa vitambi kwa watoto nchini Marekani. Michelle alianzisha kampeni hiyo mwaka 2010 baada ya kuwepo watoto wengi wenye...

 

10 years ago

GPL

CHRISTIAN BELLA 'KING OF THE BEST MELODIES' AAHIDI MAKUBWA SHOO YA VALENTINE'S DAY, DAR LIVE

Christian Bella (kulia) akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari (hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya shoo yake ya Valentine kwenye Ukumbi wa Dar Live. Bella akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani).…

 

10 years ago

GPL

BENKI YA NMB YAZINDUA 'MASTERCARD DEBIT' ZINAZOKUBALIKA KIMATAIFA

Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa (katikati) pamoja wakurugenzi wa Benki ya NMB wakikishangilia kikundi cha sanaa kilichotumbuiza wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya MasterCard itakayoanza kutumika kwa mara ya kwanza kwa wateja wake. Hafla hiyo ilifanyika katika hoteli ya Haytt Regency zamani Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam. Wadau wa benki ya NMB pamoja na wageni waalikwa wakisikiliza kwa umakini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani