KIGWANGWALA MAJI, MADINI VIWANUFAISHE WANANCHI
Mheshimiwa Hamis Kigwangala. Nzega ni moja kati ya wilaya sita zinazounda Mkoa wa Tabora. Upande wa Kaskazini na Magharibi, Nzega inapakana na Mkoa wa Shinyanga na upande wa Kusini Magharibi, kuna Wilaya ya Uyui wakati upande wa Mashariki, inapakana na Wilaya ya Igunga, ikiwa na jumla ya wakazi 417,097 kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012. Uwazi ilipata fursa ya kuwasiliana na wananchi wa wilaya hiyo ambayo pia ni...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
StarTV19 Feb
Wananchi waandamana kukosa maji baada ya mhudumu wa maji kukamatwa na DC
10 years ago
Michuzi04 Feb
WIZARA YA MAJI KUPITIA BRN IMEFIKISHA MAJI KWA WANANCHI M.4.2
![IMG-20150203-WA0039](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/02/IMG-20150203-WA0039.jpg)
Waziri wa maji kupitia mpango wa BRN,kuanzia mwaka 2013 hadi sasa,imefanikiwa kuwafikishia maji wananchi milioni 4.3 wanaoishi maeneo ya mijini Aidha zaidi ya watu milioni 2 wanaoishi maeneo ya vijijini wamepatiwa huduma ya maji kupitia BRN.
Waziri wa maji profesa jumanne maghembe ameyasema hayo Februari 3, 2015 mjini Dodoma alipokuwa...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-AGDdzx4sv_E/VcLotYpz5lI/AAAAAAAACQY/UNtNz_2CNqA/s72-c/kigwa.jpg)
KIGWANGWALA KAM-BEZA LOWASSA MTANDAONI, JIONEE HAPA
![](http://4.bp.blogspot.com/-AGDdzx4sv_E/VcLotYpz5lI/AAAAAAAACQY/UNtNz_2CNqA/s640/kigwa.jpg)
August 5-2015 alitumia page yake ya twitter kuyatoa yake ya moyoni kwa kuandika sentensi kadhaa kuhusu CHADEMA na Edward Lowassa kwa kuandika >>> ‘Baada ya safari ya matumaini kufa nimeambiwa Edward Lowassa ameiba jina la safari ya mabadiliko toka kwa Kigwangalla‘
10 years ago
Mwananchi18 Sep
Miradi ya madini, gesi inavyotesa wananchi
10 years ago
Habarileo09 Jun
Serikali yatoa vibali vya madini kwa wananchi
NAIBU Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga amesema, serikali imekuwa ikitoa vibali vya uchimbaji wa madini kwa wananchi wanaohitaji kufanya hivyo, pindi inapogundua kuna maeneo yana madini.
9 years ago
MillardAyo24 Dec
Baada ya Danny Mrwanda kusajiliwa na Maji Maji FC na kutowasili, uongozi wa Maji Maji umeamua hivi (+Audio)
Headlines za soka la bongo mtu wangu wa nguvu zimenifikia, safari hii sio kuhusu Simba na Yanga bali ni kuhusu staa wa soka aliyewahi kuvitumikia vilabu hivyo kwa nyakati mbili tofauti Danny Mrwanda, staa huyo ameingia kwenye headlines baada ya kuingia mkataba wa kuitumikia klabu ya Maji Maji FC ya Songea na kupewa malipo yake […]
The post Baada ya Danny Mrwanda kusajiliwa na Maji Maji FC na kutowasili, uongozi wa Maji Maji umeamua hivi (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
Dewji Blog18 Jul
Wananchi wataka STAMICO ipewe nguvu kusimamia Sekta ya Madini nchini
Wafanyakazi wa Shirika la Madini la Taifa STAMICO wakiwahudumia wageni waliotembelea katika banda lao kwenye maonyesho ya wiki ya Utumishi yaliyomalizika hivi karibuni.
-Waunga mkono kauli ya Waziri wa Nishati na Madini
-Wataka wenye uwezo kuacha ubinafsi na ubepari
-Wataka raslimali za madini ziwanufaishe Watanzania wote
Na. Issa Mtuwa – STAMICO
Wananchi wameiomba serikali kuhakikisha rasilimali za Madini zinawanufahisha Watanzania wote na sio wachache wenye uwezo. Kauli ambayo imewahi...
9 years ago
MichuziZIARA YA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI KWENYE KITUO CHA KUZALISHA UMEME KWA NGUVU YA MAJI, MTERA
Akielezea hali halisi aliyoiona kituoni hapo, Profesa Muhongo alisema kwa wakati huu kituo hicho cha Mtera hakizalishi umeme wa kiasi chochote huku akitaja sababu kuwa ni upungufu wa maji uliosababishwa na matumizi mabaya ya maji ya Bwawa hilo.
Profesa Muhongo alisema njia bora ya utatuzi wa upungufu wa maji kwenye bwawa hilo...
5 years ago
Michuzi![](https://img.youtube.com/vi/mCBbLNpePMI/default.jpg)