Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kijasho chepesi

Walimfuatilia hadi alipoondoka kwa safairi ya kuelekea Bagamoyo kwa mganga na kwa kiasi fulani waliona kuwa mipango yao  inanyooka  baada ya kumwaona alivyokuwa anatapatapa kama mfa maji.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Kichapo chepesi

Mlango wa ofisi ukagongwa mara mbili kisha ukafunguliwa taratibu na akaingia mwanamume mmoja aliyekuwa amevalia kofia ya baraghashia. Katika mkono wake wa kushoto alikuwa ameshika mkoba wa ngozi. Huyo alikuwa mganga wa jadi Mzee Waziiri Mwinyi. “Karibu mgeni” Rose alimkaribisha huku akimwangalia mgeni huyu aliyekuwa akiingia taratibu. “Aksante bibie.” Alimjibu huku akisimama mbele ya dirisha la Katibu Muhtasi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wamaasai watoana kijasho 'Olimpiki' Kenya

Olimpiki ya wanariadha wamaasai imefanyika nchini Kenya miwhsoni mwa juma waasai hao wakitoana kijasho katika riadha na michezo mingineyo

 

10 years ago

GPL

OYA MWANA LAZIMA KIJASHO CHEMBABA KIKUTOKE!

Ikoje watu wa Saa Godi? Nipo tena kwa mahewa kukisanua hapa kwa fasi ya jamvini arifu. Heroo kwani kuna kwikwi? Haina kitu, kaa humu wewe uwe mjanja!Bifoo sijazama kwa mastori moo kuna ishu moko fekelo kinoma naona dizaini kama inashika kasi. Eti kichwa mbulula kinaacha kupiga mzigo kutengeneza mkwanja anaanza kukrosi kwenye mapaking tauni anajipiga mafoto makare na ndiga za watu dheni anatupia kwa insta eti abauti lasti naiti!...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani