Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


kikao cha 98 cha watayarishaji wa vipindi vya elimu kwa umma kupitia TBC chafanyika Mkoani Morogoro

Mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 98 wa watayarishaji wa vipindi vya elimu kwa umma kupitia shirika la utangazaji Tanzania (TBC) mkoani Morogoro iliyoanza julai 14 hadi 23 mwaka huu mkoani Morogoro, mkutano huo unafadhiliwa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF. kutoka kulia ni Mkurugenzi mkuu wa mfuko wa pensheni wa PSPF, Adam Maingu na (katikati) ni Mkurugenzi wa uendeshaji wa mfuko huo wa PSPF, Neema Muro. mkutano huo unafadhiliwa na Mfuko wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

kikao cha kupitia Rasimu ya Sera ya Taifa ya Mazingira chafanyika jijini Dar leo

Profesa Richard Kangalawe akiwasilisha maoni kuhusu Rasimu ya Sera ya Mazingira katika kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa NIMR Jijini Dar es Salaam. Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Injinia Angelina Madete akifungua kikao cha kupitia Rasimu ya Sera ya Taifa ya Mazingira jijini Dar es Salaam. Wajumbe kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais wakisikiliza maoni kuhusu mapitio ya Rasimu ya Sera ya Taifa ya Mazingira iliyowasilishwa na jopo la Wataalamu katika kikao kilichofanyika kwenye...

 

11 years ago

Michuzi

kikao cha baraza la madiwani chafanyika mkoani iringa leo

 Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Pudenciana Kisaka akizungumza wakati wa kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika katika ukumbi Siasa ni Kilimo, kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Steven Mhapa. Baadhi ya madiwani wakifuatilia majadiliano katika kikao hicho yakiendelea katika kikao cha baraza la madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Iringa katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo. Baadhi ya wakuu wa idara wa halmshauri ya wilaya ya Iringa wakifuatilia majadiliano...

 

10 years ago

Michuzi

KIKAO CHA PILI CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI CHAFANYIKA LEO JIJINI DAR

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mbarak Abdulwakil wa pili kutoka kushoto akiwa na Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo Mwamini Malemi wa kwanza kutoka kushoto pamoja na Viongozi wa Baraza la Wafanyakazi wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Wajumbe wengine wa Baraza hilo wakielekea kwenye ukumbi wa Police Officer’s Mess jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufungua kikao hicho kilichoketi jana kujadili utekelezaji wa Bajeti ya mwaka 2014/2015 na Malengo ya mwaka 2015/2016. Katibu Mkuu wa...

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KIKAO CHA BAJETI YA SHIRIKA LA MAGEREZA KWA MWAKA 2015/2016 LEO MKOANI MOROGORO

  Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulwakil(suti nyeusi) akisalimiana na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja mara baada ya kuwasili leo Mei 25, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa Edema, Mkoani Morogoro kwa ajili ya ufunguzi wa Kikao cha Bajeti ya Shirika la Magereza kwa Mwaka 2015/2016(wa pili kulia) ni Kamishna wa Huduma za Urekebishaji, Deonice Chamulesile.Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja akitoa maelezo mafupi kabla ya...

 

10 years ago

Michuzi

KIKAO KAZI CHA WATENDAJI WA SHIRIKA LA MAGEREZA NA GEPF CHAENDELEA LEO MKOANI MOROGORO



 Mkuu wa Magereza Mkoani Morogoro, Naibu Kamishna wa Magereza, James Selestine(wa kwanza kushoto) akiteta jambo na Watendaji Waandamizi wa Shirika la Magereza na GEPF kabla ya kutembelea katika eneo la Kihonda, Morogoro ambapo mradi wa Majengo ya vitega uchumi kwa ubia kati ya Shirika la Magereza na GEPF utakapojengwa(wa kwanza kulia) ni Mkurugenzi wa Uwekezaji, Bw. Festo Fute(wa pili kulia) ni Mtendaji Mkuu wa Shirika la Magereza, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, John Masunga.

 

10 years ago

Michuzi

KIKAO CHA MAAFISA WAANDAMIZI WA JESHI LA MAGEREZA NCHINI CHAANZA LEO MKOANI MOROGORO

  Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil akitoa hotuba ya ufunguzi leo Mei 26, 2015 kwenye Kikao cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza nchini kinachofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Edema, Mkoani Morogoro.  Wajumbe wa Kikao ambao ni  Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza nchiniwa kifuatilia kwa makini hotuba ya Mgeni rasmi, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil(wa kwanza kushoto) ni Mkuu wa Magereza Mkoa wa Dar es Salaam,...

 

5 years ago

BBCSwahili

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani