Kikosi cha AU chakomboa mji wa CAR
Kikosi cha usalama cha Umoja wa Afrika chakomboa mji wa Sibut, kaskazini ya Bangui, katika Jamhuri ya Afrika ya Kati
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili01 May
Kikosi cha EU chadhibiti ulinzi CAR
11 years ago
BBCSwahili07 Feb
Maelfu wautoroka mji wa Bangui CAR
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Michuzi9 years ago
MichuziKikosi cha muziki mnene cha EFM 93.7 chatoka sare na mlandizi veteran
10 years ago
Dewji Blog10 Aug
5 years ago
Bongo514 Feb
Hiki ndio kikosi cha PFA cha wachezaji 11 bora Uingereza msimu huu
Chama cha wachezaji soka wakulipwa Uingereza (PFA) kimetaja kikosi chake bora cha ligi hiyo kwa msimu huu unaoelekea ukingoni.
Timu ya Chelsea na Tottenham Hotspurs ndizo zimeongoza kutoa wachezaji wengi katika kikosi hicho ambapo kila timu imetoa wachezaji wanne. Wachezaji wa Chelsea walioingia katika kikosi hicho ni pamoja na Gary Cahil, David Luiz, N’golo Kante na Eden Hazard.
Nao waliochaguliwa kutoka Spurs ni Kyle Walker, Danny Rose, Dele Alli na Harry Kane. Wachezaji wengine...
11 years ago
MichuziNEWZZZ ALERT:KIKOSI CHA UOKOAJI TANAPA CHAMNASUA MTALII ALIYENASA KILELE CHA MAWENZI
MTALII ALIYEKWAMA KILELE CHA MAWENZI MLIMA KILIMANJARO AOKOLEWA.
Kikosi cha Uokoaji katika Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro kimefanikiwa kumuokoa mtalii Bi. Jeanne Traska (32) kutoka Ujerumani pamoja na muongoza wageni Athuman Juma ambao jana walikwama katika kilele cha Mawenzi Mlimani Kilimanjaro. Kikosi cha Uokoaji cha TANAPA kiliweza kufika eneo la kilele cha Mawenzi na kwa kutumia mbinu za uokoaji za kisasa kabisa kiliweza kuwanasua...
10 years ago
Vijimambo28 Apr
RAIS KIKWETE AZINDUA MELI VITA MBILI ZA KIKOSI CHA WANAMAJI CHA JWTZ JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa amri kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam leo April 28, 2015
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mara baada ya kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam leo April 28, 2015
Amiri Jeshi...