Kikwete aagiza TBL ifuatiliwe
RAIS Jakaya Kikwete ametaka ufanyike ufuatiliaji kubaini kama Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) imerithi madeni yote ya wakulima wa zabibu baada ya kununua Kampuni ya kutengeneza mvinyo ya Cetawico. Alisema hayo juzi mjini hapa wakati akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Buigiri Wilaya ya Chamwino.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo02 Sep
Kikwete aagiza madereva wachunguzwe
RAIS Jakaya Kikwete ameendelea kusisitiza zifanyike jitihada zaidi kusimamia kikamilifu Sheria ya Usalama Barabarani na kufuatiliwa kwa karibu kwa mienendo ya wanaoendesha vyombo vya moto.
10 years ago
Habarileo26 Aug
Kikwete aagiza mkandarasi alipwe
RAIS Jakaya Kikwete ameiagiza Wizara ya Maji na Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa, kutafuta fedha za kumlipa mkandarasi kujenga bwawa la Kidete anayedai Sh bilioni mbili, ili arejee kazini kukamilisha kazi iliyopangwa. Rais Kikwete ametoa agizo hilo baada ya Mbunge wa Kilosa, Mustafa Mkulo, kumueleza Rais kwamba ujenzi wa bwawa hilo umesimama kwa muda mrefu, kwa sababu mkandarasi anaidai serikali Sh bilioni mbili.
10 years ago
Habarileo29 Aug
Kikwete aagiza Halmashauri zinunue nyumba NHC
HALMASHAURI nchini zimetakiwa kununua nyumba za bei nafuu zinazojengwa na Shirika la Nyumba (NHC) ili kuwapangisha watumishi wake.
9 years ago
Habarileo08 Sep
Kikwete aagiza UWT isaidie kuleta ushindi
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM ), Jakaya Kikwete amewaagiza viongozi wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) kujipanga na kubuni mikakati itakayokiwezesha chama hicho kupata ushindi katika uchaguzi mkuu wa Oktoba.
10 years ago
Habarileo12 Dec
Kikwete aagiza kuanzishwe kampeni saratani ya tezi dume
RAIS Jakaya Kikwete ameiagiza Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kuanzisha kampeni ya saratani ya tezi dume.
10 years ago
GPLKIKWETE AAGIZA HALMASHAURI ZINUNUE NYUMBA NHC
10 years ago
Michuzi29 Aug
Rais Kikwete aagiza Halmashauri zinunue nyumba NHC
Kauli hiyo ilitolewa jana na Rais Jakaya Kikwete alipokuwa akifungua mradi wa nyumba nafuu katika eneo la Mnyakongo wilayani Kongwa mkoani Dodoma.
Alisema kumekuwa na tabia ya baadhi ya maeneo watumishi wa halmashauri kukaa mbali na sehemu zao za kazi kwa visingizio vya kukosa makazi.
Alisema sababu hiyo sasa haina msingi katika maeneo ambayo...