Kikwete aagiza UWT isaidie kuleta ushindi
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM ), Jakaya Kikwete amewaagiza viongozi wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) kujipanga na kubuni mikakati itakayokiwezesha chama hicho kupata ushindi katika uchaguzi mkuu wa Oktoba.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-kd73LQSybdo/UwNVKi9BisI/AAAAAAAFNyQ/emfkmYBa4os/s72-c/534807487.jpg)
UWT YAMPONGEZA RAIS KIKWETE KWA UTEUZI WA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA
![](http://3.bp.blogspot.com/-kd73LQSybdo/UwNVKi9BisI/AAAAAAAFNyQ/emfkmYBa4os/s1600/534807487.jpg)
Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) umempongeza Mhe. Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete kwa uteuzi wa wajumbe wa Bunge la Katiba linalotarajia kuanza leo Mjini Dodoma.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo jijini Dar es Salaam kwa vyombo vya habari na kusainiwa na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja huo Eva Mwingizi ilisema uteuzi wa Rais umezingatia umri, weledi, uzoefu na uwakilishi wa makundi mbalimbali ya kijamii.
Mwingizi alisema uteuzi huo umeangalia asilimia 50 ya...
10 years ago
Dewji Blog05 Oct
Ziara ya Kikwete kuleta mabadiliko!
ZIARA ndefu ya Rais Jakaya Kikwete nchini Marekani huenda ikaibuka na mabadiliko katika Baraza la Mawaziri au Taasisi nyeti za serikali.
Rais Kikwete aliondoka wiki iliyopita kwa ziara ya wiki mbili Marekani, katika wakati ambao serikali yake imegubikwa na masuala mazito yanayohitaji maamuzi yake.
Masuala hayo ni mchakato wa Katiba na uchunguzi uliofanywa na Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) pamoja na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuhusu...
9 years ago
Michuzi23 Oct
ITUMIENI BRN KULETA MABADILIKO:KIKWETE
Rais Kikwete aliyasema hayo katika sherehe maalum iliyoandaliwa na watumishi wa umma kumuaga na kufanyika Dar es Salaam Alhamisi usiku. Watumishi wa umma walitumia fursa hiyo kumpa Rais tuzo na zawadi...
9 years ago
StarTV18 Sep
Ridhiwan Kikwete aahidi kuleta maendeleo akichaguliwa
Mgombea ubunge katika jimbo la Chalinze kwa tiketi ya Chama cha mapinduzi CCM Ridhiwan Kikwete amesema kwa kipindi cha mwaka mmoja alichotumikia ubunge amefanikiwa kutatua kero mbalimbali za kijamii katika jimbo hilo
Amesema pamoja na jitihada aliyofanya kwa kipindi cha mwaka mmoja bado kuna changamoto ambazo zinahitaji kumalizwa hivyo amewaomba wananchi wa jimbo la Chalinze kumwamini kwa kumpa kura ili kutimiza lengo la kuwaletea maendeleo.
Riziwani ameyasema hayo wakati akizindua...
10 years ago
Habarileo01 Sep
Kikwete aagiza TBL ifuatiliwe
RAIS Jakaya Kikwete ametaka ufanyike ufuatiliaji kubaini kama Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) imerithi madeni yote ya wakulima wa zabibu baada ya kununua Kampuni ya kutengeneza mvinyo ya Cetawico. Alisema hayo juzi mjini hapa wakati akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Buigiri Wilaya ya Chamwino.
10 years ago
Habarileo02 Sep
Kikwete aagiza madereva wachunguzwe
RAIS Jakaya Kikwete ameendelea kusisitiza zifanyike jitihada zaidi kusimamia kikamilifu Sheria ya Usalama Barabarani na kufuatiliwa kwa karibu kwa mienendo ya wanaoendesha vyombo vya moto.
10 years ago
Habarileo26 Aug
Kikwete aagiza mkandarasi alipwe
RAIS Jakaya Kikwete ameiagiza Wizara ya Maji na Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa, kutafuta fedha za kumlipa mkandarasi kujenga bwawa la Kidete anayedai Sh bilioni mbili, ili arejee kazini kukamilisha kazi iliyopangwa. Rais Kikwete ametoa agizo hilo baada ya Mbunge wa Kilosa, Mustafa Mkulo, kumueleza Rais kwamba ujenzi wa bwawa hilo umesimama kwa muda mrefu, kwa sababu mkandarasi anaidai serikali Sh bilioni mbili.
10 years ago
Habarileo29 Aug
Kikwete aagiza Halmashauri zinunue nyumba NHC
HALMASHAURI nchini zimetakiwa kununua nyumba za bei nafuu zinazojengwa na Shirika la Nyumba (NHC) ili kuwapangisha watumishi wake.
10 years ago
GPLKIKWETE AAGIZA HALMASHAURI ZINUNUE NYUMBA NHC