Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete anguruma Umoja wa Mataifa

RAIS Jakaya Kikwete amesema kwamba Tanzania iko tayari kushirikiana na wanachama wote wa Umoja wa Mataifa (UN) kufikia makubaliano ya malengo mapya ya maendeleo baada ya malengo ya awali (Malengo ya Milenia- MDG) kufikia hatima yake mwaka wa kesho.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kikwete apongezwa Umoja wa Mataifa

UMOJA wa Mataifa (UN) umempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa uamuzi wake wa kutoa uraia wa Tanzania kwa waliokuwa wakimbizi 162,156 wa Burundi.

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AAGA UMOJA WA MATAIFA (UN)


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete jana jumanne amelihutubia kwa mara ya mwisho Baraza Kuu la 70 la Umoja wa Mtaifa akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hotuba ya Mhe. Rais na ambayo iligusia mambo mengi ya kisiasa, kiuchumi, na maendeleo akitumia pia fursa hiyo kuwaanga viongozi wenzie na kuwashukuru kwa ushirikiano waliompatia katika kipindi cha miaka kumi ya uongozi wake, iliwasisimua wajumbe wa mkutano huo kiasi cha kukatishwa mara...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA AMPONGERA RAIS KIKWETE

Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,Ban Ki Moon.

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AKUTANA NA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bwana Ban Ki Moon akimkaribisha Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwenye ofisi yake iliyopo Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani jana tarehe 24/12/2013. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon akimwonyesha sehemu ya kukaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa ajili ya kufanya mazungumzo naye.…

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWASILI MAREKANI KWA MWALIKO WA UMOJA WA MATAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili, Machi 29, 2015 amewasili jijini New York, Marekani kwa mwaliko wa Umoja wa Mataifa.

Miongoni mwa mambo mengine, Rais Kikwete amefunguia rasmi jengo la ghorofa sita la Ofisi za Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja wa Mataifa, na Jumatatu Machi 30, 2015 amealikwa kuhutubia Baraza la Umoja wa Mataifa la Uchumi na Jamii (ECOSOC - UN).Rais Kikwete akilakiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Hotuba ya Rais Kikwete kwenye mkutano wa tabianchi, Umoja wa Mataifa

Photo Credits: UN Photo/Ryan BrownSeptemba 23, 2014, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dk Jakaya Kikwete, ambaye pia ni kiongozi wa kamati ya viongozi wa nchi na serikali za Afrika kuhusu mabadiliko ya tabianchi alihutubia kikao kilichoandaliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Kin Moon kujadili changamoto za mabadiliko ya tabianchi duniani. Hii ni hotuba yake, kwa hisani ya Umoja wa Mataifa

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE ZIARANI MAREKANI KWA MWALIKO WA UMOJA WA MATAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili, Machi 29, 2015 amewasili jijini New York, Marekani kwa mwaliko wa Umoja wa Mataifa.Miongoni mwa mambo mengine, Rais Kikwete amefunguia rasmi jengo la ghorofa sita la Ofisi za Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja wa Mataifa, na Jumatatu Machi 30, 2015 amealikwa kuhutubia Baraza la Umoja wa Mataifa la Uchumi na Jamii (ECOSOC - UN). Rais Kikwete akilakiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano...

 

10 years ago

Michuzi

Mhe. Ridhiwani Kikwete atembelea Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze  na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya  Chama cha  Mapinduzi Mhe. Ridhiwani Kikwete akiwa  katika picha ya   pamoja na  Muwakilishi wa Kudumu wa Jamburi ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa,  Balozi Tuvako  Manongi  (kushoto) na  Naibu Mwakilishi wa  Kudumu,  Balozi Ramadhan Mwinyi. Mhe Ridhiwani Kikwete ( Mb)  alikuwa Jijini New York kwa ziara ya kikazi ambapo pia  alikuwa mgeni  rasmi  katika  hafla ya  miaka 38 ya  kuzaliwa kwa  Chama cha Mapinguzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani