Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete awaapisha makatibu wa Bunge

Rais Jakaya Kikwete jana aliwaapisha Katibu na Naibu Katibu wa Bunge Maalumu la Katiba, hali inayoonyesha kuwa kazi ya Bunge sasa imeanza.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AWAAPISHA MAKATIBU WAKUU, MABALOZI,WAKUU WA MIKOA NA MAKATIBU TAWALA WAPYA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Samwel William Shellukindo kuwa Balozi na Msaidi wa Rais Masuala ya Diplomasia leo Ikulu jijini Dar es salaam Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe John Vianney Mongella kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera leo Ikulu jijini Dar es salaam.…

 

9 years ago

StarTV

Rais Magufuli awaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu wao.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli amewaapisha Makatibu wakuu na Manaibu katibu wakuu wa wizara mbalimbali wa Serikali ya awamu ya tano,  ikiwa ni mwendelezo wa  kukamilisha uteuzi wa watendaji.

Hatua hiyo imekuja kufuatia Rais Magufuli kufanya uteuzi wa Makatibu wakuu 29 na Manaibu katibu wakuu 21 na jumla yao kuwa 50,  Desemba 29 huku akimbakiza katika nafasi yake Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.

Januari mosi ya mwaka 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

JK awaapisha Makatibu Wakuu leo Ikulu jijini Dar

PIX 2

Dkt.Maria Mashingo akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete baada ya kuteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi mapema leo Ikulu  jijini Dar es Salaam.

PIX 3

Prof.Elisante Gabriel akila kiapo mbele  ya Rais wa Jamhuri ya Muungano  Dkt. Jakaya Kikwete baada ya kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo, leo Ikulu  jijini Dar es Salaam,awali Prof.Gabriel alikuwa Naibu Mkuu wa Wizara hiyo.

PIX 4

Rais wa...

 

9 years ago

Global Publishers

Breaking News: Rais Magufuli awaapisha Makatibu Wakuu, Ikulu – Dar

BREAKINGNEWS3Rais John Pombe Magufuli asubuhi hii kwenye Ikulu jijini  Dar es Salaam, anawaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wa wizara mbalimbali aliowateua juzi Desemba 30.

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete awaapisha Katibu na Naibu Katibu wa Bunge maalum la Katiba mjini Dodoma leo

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha Katibu na naibu katibu wa Bunge Maalum la katiba katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ndogo mjini Dodoma leo.  Rais ni Katibu Bwana Yahya Khamis Hamad akila kiapo kuwa Katibu wa Bunge Maalum la Katiba. Wa pili kushoto akishuhudia kiapo ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na watatu kushoto ni karani wa Baraza la Mawaziri Bwana Gerson Mdemu
 Dkt. Thomas Kashililah akila kiapo kuwa Naibu Katibu wa Bunge Maalum la...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AWAAPISHA KATIBU NA NAIBU KATIBU WA BUNGE MAALUM LA KATIBA LEO MJINI DODOMA

Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Bw, Yahya Khamis Hamad akiapa mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete Leo Mjini Dodoma. Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Bw. Yahya Khamis Hamad akisaini Kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete Leo Mjini Dodoma.…

 

10 years ago

Vijimambo

Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa Makatibu Wakuu wa Wizara kwa kuteua Makatibu Wakuu wanne wapya na kuhamisha mmoja.

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS


Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.com

Website : www.ikulu.go.tz              

Fax: 255-22-2113425


  


PRESIDENT’S OFFICE,

      STATE HOUSE,

              1 BARACK OBAMA ROAD,  

11400 DAR ES SALAAM.

Tanzania.

 

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa Makatibu Wakuu wa Wizara kwa kuteua Makatibu...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Dkt. John Pombe Magufuli awaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu leo Ikulu Jijini Dar

IMG_0296

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.  Dkt.  Pombe Joseph Magufuli (kushoto) akimuapisha Profesa Adolf Mkenda (kulia) kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, 01 Januari, 2016 Ikulu Jijini Dar es Salaam. IMG_0311 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.  Dkt.  Pombe Joseph Magufuli (kushoto) akimuapisha Dkt. Maria Mashingo (kulia) kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, 01 Januari, 2016 Ikulu Jijini Dar es Salaam. IMG_0322 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani