Kikwete awapa somo waandishi habari Afrika
RAIS Jakaya Kikwete amewataka waandishi wa habari barani Afrika kutokujihusisha na rushwa, ili wawe na nguvu za kutosha za kiroho kuwanyoshea vidole watu wengine. Aidha, amesema kuwa wingi wa vyombo vya habari nchini unathibitisha kuwa Serikali yake inaendelea kulea na kukuza uhuru wa vyombo vya habari ambavyo vina uhuru wa kusema lolote bila kuingiliwa na serikali.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper06 Aug
Kikwete awapa somo Wamarekani
Na mwandishi wetu
RAIS Jakaya Kikwete ameitaka sekta binafsi na wafanyabiashara wa Marekani kujifunza kutoka kwa wenzao wa Bara la Asia, ambao wameongeza uwekezaji barani Afrika.
Amesema hatua hiyo inatokana na kuwa wawekezaji hao wanapata taarifa sahihi na za ukweli kupitia vyombo mbalimbali.
Aidha, Rais Kikwete amesema pingamizi kubwa la kufanya biashara kati ya Marekani na Afrika sio tena Bahari ya Atlantic ama umbali, bali ni maono hasi yanayojengwa na vyombo vya habari vya Marekani kuhusu...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-rVQuuRWjF-g/VlWzihH-5ZI/AAAAAAAIIXc/P5ggGhe7O_0/s72-c/Mahakama%2B-1.jpg)
JAJI MKUU WA TANZANIA MHE. OTHMAN CHANDE ATOA SOMO KWA WAANDISHI WA HABARI
![](http://2.bp.blogspot.com/-rVQuuRWjF-g/VlWzihH-5ZI/AAAAAAAIIXc/P5ggGhe7O_0/s640/Mahakama%2B-1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-AqBjSIgkF_k/VlWzkIQWpOI/AAAAAAAIIXs/TyMjb7jq53o/s640/Mahakama%2B-3.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-YQBRmEwwFkk/VlWzif76JkI/AAAAAAAIIXU/PoYDjvl1QTE/s640/Mahakama%2B-%2B5.jpg)
9 years ago
Dewji Blog26 Nov
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande atoa somo kwa Waandishi wa Habari za Mahakama
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande akitoa ufafanuzi kwa wanabari (hawapo pichani) kuhusu uandishi bora wa habari za Mahakama wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa Habari za Mahakama jana jijini Dar es salaam.
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande (kushoto) na Meneja wa Maadili wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Allan Lawa (kulia) wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari za Mahakama...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-aArZtRFofys/VVuY9AjH1qI/AAAAAAAHYWA/I6TQ1bMpnHY/s72-c/unnamed%2B(13).jpg)
MAHAKAMA YA HAKI ZA BINADAMU YA AFRIKA YAWANOA WAANDISHI WA HABARI ARUSHA
![](http://2.bp.blogspot.com/-aArZtRFofys/VVuY9AjH1qI/AAAAAAAHYWA/I6TQ1bMpnHY/s640/unnamed%2B(13).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-IOe56IaryeM/VVuY9UusPpI/AAAAAAAHYWI/b1SCorGtr5g/s640/unnamed%2B(14).jpg)
10 years ago
Dewji Blog22 Nov
Rais Kikwete aomboleza vifo vya waandishi wa habari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa Dkt. Fenella Mukangara kuomboleza vifo vya Waandishi wa Habari, Innocent Munyuku wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd. na Baraka Karashani ambaye alikuwa Mwanachama wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini.
Mwandishi Mwandamizi, Innocent Munyuku alifariki akiwa usingizini nyumbani kwake Kimara Jijini Dar es Salaam,...
10 years ago
Michuzi20 Oct
11 years ago
Dewji Blog06 Apr
Ridhiwani Kikwete akutana na waandishi wa habari, kuzungumzia mwenendo wa kampeni zake
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akizungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano wake wa kuzungumzia mwenendo mzima wa Kampeni zake,leo April 4,2014,Nyumbani kwake Msoga.(Picha na Othman Michuzi).
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-HAalbelt-bw/U62FznTV5OI/AAAAAAAFtO8/V5nqATDwL7w/s72-c/MMGM1586.jpg)
WAANDISHI WA HABARI KUTOKA NCHI ZAIDI YA 14 BARANI AFRIKA WAPEWA MAFUNYO YA UCHUNGUZI WA UHALIFU NCHINI MAURITIUS
![](http://2.bp.blogspot.com/-HAalbelt-bw/U62FznTV5OI/AAAAAAAFtO8/V5nqATDwL7w/s1600/MMGM1586.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima12 Sep
Msechu awapa somo Wakinga
WENYEJI wa Makete mkoani Njombe wanaoishi sehemu mbalimbali nchini, wamekumbushwa wajibu waliyonao katika kuiendeleza Wilaya hiyo ili ikue kiuchumi. Wito huo ulitolewa hivi karibuni na Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba...