Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kilahiro kuanika mpya Tamasha la Pasaka

 MWIMBAJI mahiri wa  nyimbo za Injili nchini, Upendo Kilahiro amesema kuwa endapo atapata nafasi ya kushiriki kwenye miaka 15 ya Tamasha la Pasaka mwaka huu, ataimba nyimbo zilizopo katika albamu yake mpya inayotarajia kukamilika hivi karibuni. Kwa mujibu wa Kilahiro tamasha hilo ni maalum kwa sababu  linatimiza miaka 15 tangu kuanzishwa kwake hivyo akipata nafasi katika tamasha hilo ataimba nyimbo mpya kama zawadi kwa watanzania. Alipotakiwa kuitaja albamu hiyo na baadhi ya nyimbo zilizomo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Upendo Nkone, Kilahiro, Voice of Acapela, Sarah K wachomoza Tamasha la Pasaka

WAKATI  siku zikikaribia kuelekea kwenye Tamasha la Pasaka katika zoezi la upigaji kura kuchagua waimbaji, mikoa na mgeni rasmi katika tamasha hilo, waimbaji kadhaa wamechomoza kwenye mchakato wa kutoa huduma ya uimbaji katika tamasha hilo.
Kwa mujibu  Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya Tamasha hilo, Alex Msama waimbaji hao wamepata nafasi hiyo kupitia mfumo wa upigaji kura kupitia ujumbe mfupi wa maandishi ya simu za mkononi.
Msama aliwataja waimbaji hao kuwa ni pamoja na Upendo...

 

11 years ago

Michuzi

KAPOTIVE STAR SINGERS-BUKOBA KUFANYA TAMASHA LA PASAKA LINA'S CLUB, PASAKA PILI NI KATIKA MJI WA BIHARAMULO

Kikundi mahiri cha KAPOTIVE Star Singers- Bukoba,Wanayo furaha kuwatangazia kuwa kwa mapenzi ya Mungu, Tar. 20/04/2014 sikukuu ya Pasaka watakuwa na tamasha la Pasaka LINA’S CLUB -Bukoba, kuanzia saa 9 mchana hadi 2 usiku na kesho yake tar. 21/04/2014 Watakuwa katika mji wa Biharamulo. 
 Mratibu wa Tamasha hilo Bw. Andrew Kagya amesema kuwa Mwimbaji mgeni (Guest singer) atakuwa Flora Mbasha na kundi lake zima kutoka jijini Dar es Salaam na pia Kutakuwepo kwaya mbalimbali za RC, KKKT na...

 

10 years ago

Mwananchi

Tamasha la Pasaka lasifiwa

Wakati viingilio vya tamasha la Pasaka vikiwekwa wazi, Chama cha Muziki wa Injili Tanzania (CHAMUITA) kimesema Tamasha la Pasaka ni kubwa na lililo na heshima Tanzania na Afrika yote kwa sababu linafikisha ujumbe wa neno la Mungu kwa Waafrika wote.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miaka 14 ya Tamasha la Pasaka

TAMASHA la Pasaka mwaka huu linatarajiwa kufikisha miaka 14 tangu kuanzishwa kwake na Kampuni ya Msama Promotions ya jijini Dar es Salaam. Tangu kuanzishwa kwa tamasha hilo, Watanzania wameweza kujumuika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tamasha la Pasaka na faida zake 10

KAMPUNI ya Msama Promotions imeanza harakati za maandalizi ya Tamasha la Pasaka la mwaka huu, likifanyika kwa mara ya 14 tangu kuasisiwa kwake mwaka 2000, likibeba malengo 10, kubwa likiwa...

 

10 years ago

GPL

TAMASHA LA PASAKA LASAMBAA MIKOA 17

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Alex Msama.
Na Mwandishi Wetu
IDADI ya mikoa ambayo imeomba iandae onesho la miaka 15 ya Tamasha la Pasaka, sasa imefikia 17 kwa mujibu wa waandaaji. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka, Alex Msama ilisema kuwa idadi hiyo ni kubwa na haijawahi kutokea tangu walipoanzisha tamasha lao mwaka 2000. “Tumepokea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani