Tamasha la Pasaka lasifiwa
Wakati viingilio vya tamasha la Pasaka vikiwekwa wazi, Chama cha Muziki wa Injili Tanzania (CHAMUITA) kimesema Tamasha la Pasaka ni kubwa na lililo na heshima Tanzania na Afrika yote kwa sababu linafikisha ujumbe wa neno la Mungu kwa Waafrika wote.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi16 Apr
KAPOTIVE STAR SINGERS-BUKOBA KUFANYA TAMASHA LA PASAKA LINA'S CLUB, PASAKA PILI NI KATIKA MJI WA BIHARAMULO

Mratibu wa Tamasha hilo Bw. Andrew Kagya amesema kuwa Mwimbaji mgeni (Guest singer) atakuwa Flora Mbasha na kundi lake zima kutoka jijini Dar es Salaam na pia Kutakuwepo kwaya mbalimbali za RC, KKKT na...
11 years ago
Tanzania Daima14 Mar
Miaka 14 ya Tamasha la Pasaka
TAMASHA la Pasaka mwaka huu linatarajiwa kufikisha miaka 14 tangu kuanzishwa kwake na Kampuni ya Msama Promotions ya jijini Dar es Salaam. Tangu kuanzishwa kwa tamasha hilo, Watanzania wameweza kujumuika...
10 years ago
MichuziWatanzania walipania Tamasha la Pasaka
WAUMINI wa Kikristo waliopata fursa ya kushiriki semina ya neno la Mungu iliyoandaliwa na mtumishi wa Mungu Mwalimu Christopher Mwakasege iliyomalizika jana katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam wamesema wanahamu kubwa na Tamasha la mwaka huu kwa kuwa litakuwa na vitu vya kipekee.
Wakizungumza leo katika viwanja hivyo, walisema kikubwa ambacho kinaonesha utofauti ni kutimiza miaka 15 tangu kuanza hivyo kuadhimisha miaka hiyo kutakuwa na mambo tofauti yatakayopatikana siku...
10 years ago
Michuzi
Mwingereza atajwa Tamasha la Pasaka

Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka, Alex Msama alisema katika taarifa yake kuwa mwaka huu wanataka kutoka kivingine. “Mashabiki wamekuwa wakiomba tumualike Ayobami, bado tunapokea maoni...
11 years ago
Mwananchi18 Feb
Mahlangu atakiwa tamasha la Pasaka
Mashabiki wa muziki wa Injili nchini wamependekeza mwanamuziki Solly Mahlangu ‘Obrigado’ kutoka Afrika Kusini awepo kwenye tamasha la Pasaka mwaka huu kwani mwanaumuziki huyo alifanya vizuri katika tamasha la Krisimasi mwaka jana.
10 years ago
GPL
TAMASHA LA PASAKA LASAMBAA MIKOA 17
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Alex Msama.
Na Mwandishi Wetu
IDADI ya mikoa ambayo imeomba iandae onesho la miaka 15 ya Tamasha la Pasaka, sasa imefikia 17 kwa mujibu wa waandaaji. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka, Alex Msama ilisema kuwa idadi hiyo ni kubwa na haijawahi kutokea tangu walipoanzisha tamasha lao mwaka 2000. “Tumepokea...
10 years ago
MichuziUsalama wa kutosha Tamasha la Pasaka
NA...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania