Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwingereza atajwa Tamasha la Pasaka

MWIMBAJI wa kimataifa raia wa Uingereza, Ayobami David  ni mmoja wa waimbaji wanaopenekezwa sana na mashabiki waalikwe katika onesho la miaka 15 ya Tamasha la Pasaka nchini. Ayobami ni mwimbaji ambaye anafanya vizuri katika muziki huo wa Kumtukuza Mungu kupitia nyimbo  mbalimbali.
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka, Alex Msama alisema katika taarifa yake kuwa mwaka huu wanataka kutoka kivingine. “Mashabiki wamekuwa wakiomba tumualike Ayobami, bado tunapokea maoni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KAPOTIVE STAR SINGERS-BUKOBA KUFANYA TAMASHA LA PASAKA LINA'S CLUB, PASAKA PILI NI KATIKA MJI WA BIHARAMULO

Kikundi mahiri cha KAPOTIVE Star Singers- Bukoba,Wanayo furaha kuwatangazia kuwa kwa mapenzi ya Mungu, Tar. 20/04/2014 sikukuu ya Pasaka watakuwa na tamasha la Pasaka LINA’S CLUB -Bukoba, kuanzia saa 9 mchana hadi 2 usiku na kesho yake tar. 21/04/2014 Watakuwa katika mji wa Biharamulo. 
 Mratibu wa Tamasha hilo Bw. Andrew Kagya amesema kuwa Mwimbaji mgeni (Guest singer) atakuwa Flora Mbasha na kundi lake zima kutoka jijini Dar es Salaam na pia Kutakuwepo kwaya mbalimbali za RC, KKKT na...

 

10 years ago

Mwananchi

Tamasha la Pasaka lasifiwa

Wakati viingilio vya tamasha la Pasaka vikiwekwa wazi, Chama cha Muziki wa Injili Tanzania (CHAMUITA) kimesema Tamasha la Pasaka ni kubwa na lililo na heshima Tanzania na Afrika yote kwa sababu linafikisha ujumbe wa neno la Mungu kwa Waafrika wote.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miaka 14 ya Tamasha la Pasaka

TAMASHA la Pasaka mwaka huu linatarajiwa kufikisha miaka 14 tangu kuanzishwa kwake na Kampuni ya Msama Promotions ya jijini Dar es Salaam. Tangu kuanzishwa kwa tamasha hilo, Watanzania wameweza kujumuika...

 

10 years ago

Michuzi

Usalama wa kutosha Tamasha la Pasaka

Mjumbe wa Kamati ya maandalizi ya tamasha la Pasaka, Khamis Pembe, akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu tamasha hilo litakalofanyika Aprili 5.  Kushoto ni Mwenyekiti wa tamasha hilo, Alex Msama. (Picha na Francis Dande).
 Mwenyekiti wa Tamasha la Pasaka, Alex Msama akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu tamasha hilo litakalofanyika Aprili 5. Kushoto ni Mwenyekiti wa tamasha hilo, Alex Msama.
NA...

 

10 years ago

Michuzi

Watanzania walipania Tamasha la Pasaka



WAUMINI wa Kikristo waliopata fursa ya kushiriki semina ya neno la Mungu iliyoandaliwa na mtumishi wa Mungu Mwalimu Christopher Mwakasege iliyomalizika jana katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam wamesema wanahamu kubwa na Tamasha la mwaka huu kwa kuwa litakuwa na vitu vya kipekee.
Wakizungumza leo katika viwanja hivyo, walisema kikubwa ambacho kinaonesha utofauti ni kutimiza miaka 15 tangu kuanza hivyo kuadhimisha miaka hiyo kutakuwa na mambo tofauti yatakayopatikana siku...

 

11 years ago

Mwananchi

Mahlangu atakiwa tamasha la Pasaka

Mashabiki wa muziki wa Injili nchini wamependekeza mwanamuziki Solly Mahlangu ‘Obrigado’ kutoka Afrika Kusini awepo kwenye tamasha la Pasaka mwaka huu kwani mwanaumuziki huyo alifanya vizuri katika tamasha la Krisimasi mwaka jana.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tamasha la Pasaka na faida zake 10

KAMPUNI ya Msama Promotions imeanza harakati za maandalizi ya Tamasha la Pasaka la mwaka huu, likifanyika kwa mara ya 14 tangu kuasisiwa kwake mwaka 2000, likibeba malengo 10, kubwa likiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani