KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2015 CHAFANA
![](http://1.bp.blogspot.com/-3raTlhzsIpA/VYpnMBzkCxI/AAAAAAAHjS4/GTRXJ_hxl84/s72-c/1010.jpg)
Tuzo zilizokabidhiwa Siku ya Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma jana tarehe 23 Juni, 2015.
Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili Mh. Ali Hassan Mwinyi (wa pili kutoka kushoto) akitembelea mabanda katika Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2015 katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam jana. Anayemuongoza ni Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – Utumishi Bw. HAB Mkwizu (watatu kutoka kushoto).
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – Utumishi Bw. HAB Mkwizu (kushoto)...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi17 Jun
PSPF KUENDELEA KUTOA ELIMU KWA UMMA JUU YA MAFAO WAYATOWAYO KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA VIWANJA VYA MNAZIMMOJA
10 years ago
VijimamboKILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI DODOMA
10 years ago
MichuziKILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI MKOA WA DODOMA
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-r4Rp-Nim--g/U5xSauvKLCI/AAAAAAAFqpM/da_Wg94nYAg/s72-c/Untitled1.png)
RATIBA YA UFUNGUZI WA MAADHIMISHO WIKI YA UTUMISHI WA UMMA, VIWANJA VYA MNAZI MMOJA, DAR ES SALAAM, TAREHE 16 JUNI 2014
![](http://2.bp.blogspot.com/-r4Rp-Nim--g/U5xSauvKLCI/AAAAAAAFqpM/da_Wg94nYAg/s1600/Untitled1.png)
OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA
RATIBA YA UFUNGUZI WA MAADHIMISHO WIKI YA UTUMISHI WA UMMA, VIWANJA VYA MNAZI MMOJA, DAR ES SALAAM, TAREHE 16 JUNI 2014
MUDA TUKIO MHUSIKA 02.00-03.30 Burudani MC 03.30-04.00 Waalikwa Kuingia Uwanjani MC/Wageni Waalikwa 04.00-04.15 Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Kuingia Uwanjani MC/ Kamati ya Mapokezi 04.15-04.30 Mgeni...
10 years ago
MichuziUTT AMIS ILIVYOSHIRIKI MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2015
Ofisa Mafunzo Idara ya Masoko UTT AMIS, Waziri Ramadhani (kulia) akitoa maelezo ya namna ya kujiunga na Mfuko wa Umoja wakati wa maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kulia ni Ofisa wa Mafunzo wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-FPEdH34yDEk/Xr6rqEXYkqI/AAAAAAALqXs/nIGDFOEvmUI55_f5hqQa9HWCtT3yn9AHgCLcBGAsYHQ/s72-c/79ba0279-5774-43d0-822b-299b8a6b1764.jpg)
NAIBU SPIKA MGENI RASMI KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE CHA WIKI YA WAUGUZI JIJINI DODOMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-FPEdH34yDEk/Xr6rqEXYkqI/AAAAAAALqXs/nIGDFOEvmUI55_f5hqQa9HWCtT3yn9AHgCLcBGAsYHQ/s640/79ba0279-5774-43d0-822b-299b8a6b1764.jpg)
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akizungumza wakati wa kilele cha maadhimisho ya wiki ya Wauguzi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Bilinith Mahenge na kushoto kwake ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo, Dkt. Ernest Ebenzi.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/384fd087-df37-4475-98d6-b667ea33235e.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-uvyNe-y-5_0/VQ__F8LPagI/AAAAAAADdcY/5XLzGJEFwmI/s72-c/1.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHITIMISHA KILELE CHA MAADHIMISHO YA 27 YA WIKI YA MAJI MKOANI MARA
![](http://2.bp.blogspot.com/-uvyNe-y-5_0/VQ__F8LPagI/AAAAAAADdcY/5XLzGJEFwmI/s1600/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-C4CH9IxigS8/VQ__Has0JRI/AAAAAAADdc0/eFzSXZBfO7E/s1600/2.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-mv_9QLnuN7g/U6RUtrMpfxI/AAAAAAAFsA4/90w4MqCyKMg/s72-c/PIX+1.jpg)
WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MATHIAS CHIKAWE ATEMBELEA MABANDA YA WIZARA YAKE KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA, VIWANJA VYA MANAZI MMOJA
![](http://4.bp.blogspot.com/-mv_9QLnuN7g/U6RUtrMpfxI/AAAAAAAFsA4/90w4MqCyKMg/s1600/PIX+1.jpg)