KILI MUSIC TOUR YAVUNJA REKODI JIJINI MWANZA
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZlUywY5Kv2M/U4sLyYTqIjI/AAAAAAAFm6k/ZwpdXFSC7CI/s1600/unnamed+%2817%29.jpg)
Msanii wa Bongo flava, Ben Pol akitumbuiza maelfu ya wakazi wa Mwanza wakati wa show ya Kilimanjaro Music Tour iliyofanyika katika Uwanja wa Kirumba na kuwavutia maelfu ya mashabiki. Ziara hii inadhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager. Â Msani wa muziki wa dance, Christian Bella akikonga nyoyo za wakazi wa Mwanza katika show ya Kilimanjaro Music Tour iliyofanyika katika Uwanja wa Kirumba na kuwavutia maelfu ya mashabiki....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-AZwqUPhPPtM/U4sL0EsZ3QI/AAAAAAAFm7I/CyiBOZkrcQs/s72-c/unnamed+(20).jpg)
Kili music tour yavunja rekodi Mwanza
![](http://3.bp.blogspot.com/-AZwqUPhPPtM/U4sL0EsZ3QI/AAAAAAAFm7I/CyiBOZkrcQs/s1600/unnamed+(20).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Xy27FYx9ZZo/U4sL032FFKI/AAAAAAAFm7M/By-nljTYXnc/s1600/unnamed+(21).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-6RRQHFLB_4M/U4sL2Sxlq0I/AAAAAAAFm7c/6pSrZO6xkeY/s1600/unnamed+(22).jpg)
11 years ago
Tanzania Daima18 Jun
Kili Music Tour Songea yavunja rekodi
ZIARA ya muziki ya Kili (Kili Music Tour), imeacha gumzo mjini Songea mkoani Ruvuma na kuweka rekodi ya tamasha lililohudhuriwa na watu wengi mjini hapa na iliyobeba wasanii wenye majina...
11 years ago
Tanzania Daima30 May
Kili Music Tour Mwanza kumekucha
BAADA ya Kilimanjaro Music Tour kuonesha mafanikio makubwa mjini Moshi Jumamosi iliyopita, sasa masikio na macho yanaelekea Mwanza ambako shoo ya aina yake itafanyika kwenye Uwanja wa Kirumba, kesho. Tayari...
11 years ago
Dewji Blog30 May
Mwanza kumekucha wasanii wawasili kwenye Kili Music Tour
Baadhi ya wasanii watakaotoa burudani katika tamasha la Kili Music Tour litakalofanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba JIjini Mwanza Jumamosi. Show hii inayodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ni ya pili kati ya kumi zitakazofanyika katika mikoa mbali mbali nchini.
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akizungumza na waandishi wa habari kuhusu tamasha la Kili Music Tour litakalofanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mbeya Jumamosi huku akiwa...
10 years ago
GPLBURUDANI ZA KILI MUSIC TOUR NDANI YA LEADERS CLUB JIJINI DAR USIKU HUU
11 years ago
Tanzania Daima26 May
Moshi yafunika Kili Music Tour
TAMASHA la kwanza linalohusisha ziara ya wanamuziki zaidi ya 10 linalodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, limeanza kwa kishindo mwishoni mwa wiki ambako zaidi ya wakazi 10,000 walihudhuria na...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-y4wM2_KTTc8/U5YdfVc4k4I/AAAAAAAFpXw/LDYtZUJ5p3Y/s72-c/unnamed+(14).jpg)
kili music tour yatikisa mji wa kahama
![](http://4.bp.blogspot.com/-y4wM2_KTTc8/U5YdfVc4k4I/AAAAAAAFpXw/LDYtZUJ5p3Y/s1600/unnamed+(14).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-kWI7eIt54K4/U5YdfdqAEOI/AAAAAAAFpXU/MFJ05yGrnEY/s1600/unnamed+(15).jpg)
11 years ago
Tanzania Daima21 Jun
Kili Music Tour ndani ya Iringa kesho
BAADA ya kutikisa mjini Songea mkoani Ruvuma, tamasha la Kili Music Tour sasa linahamia Mkoa wa Iringa huku mashabiki wakiwa wamepania burudani hiyo. Tayari promosheni mbalimbali zimeanza katika mji wa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0U8UQjwDEm8OKMZb*1lnyvzNTl6OvDwximn3km0CVO1BXriyVTEviNCd5iTCNB0JhX4DDySm7tU9IctK-vVBAihCR5zIDY53/IMG_6657620x400.jpg?width=650)
WAKAZI WA SONGEA WASHUHUDIA BURUDANI YA KILI MUSIC TOUR