Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BURUDANI ZA KILI MUSIC TOUR NDANI YA LEADERS CLUB JIJINI DAR USIKU HUU

Bendi ya Mapacha Watatu ikifanya mambo ndani ya Viwanja vya Leaders jijini Dar usiku huu katika Tamasha la Kili Music Tour.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KHADIJA KOPA NDANI YA KILI MUSIC TOUR 2014 LEADERS CLUB

Mwimbaji wa Taarab, Khadija Kopa akiwapagawisha mashabiki waliofurika katika Viwanja vya Leaders usiku huu katika Tamasha la Kili Music Tour 2014 jijini Dar. Mnenguaji wa Khadija Kopa akifanya yake stejini.…

 

10 years ago

GPL

KILI MUSIC TOUR 2014 BURUDANI MWANZO MWISHO

Burudani mbalimbali katika usiku wa Kili Music Tour 2014 kwenye Viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam Septemba 6, 2014.

 

11 years ago

GPL

WAKAZI WA SONGEA WASHUHUDIA BURUDANI YA KILI MUSIC TOUR

Wakazi wa Songea wakishuhudia burudani toka kwa wakali wa muziki nchini katika tamasha la Kili Music Tour katika uwanja wa Majimaji Songea.
Diamond Platnumz akithibitisha…

 

10 years ago

Bongo5

Kili Music Tour: AY, FA, Profesa J, Vanessa, Ben Pol, Weusi kushusha burudani Jumamosi hii*

Baada ya kuzunguka kaskazini, kusini, kanda ya ziwa, kanda ya kati na nyanda za juu kusini Jumamosi hii burudani ya Kili Music Tour inamalizikia Leaders Club jijini Dar es Salaam. Wasanii watakaotumbuiza ni pamoja na Christian Bella, Khadija Kopa, Jambo Squad, Ben Pol, Profesa Jay, Rich Mavoko, Vanessa Mdee, Ommy Dimpoz, MwanaFA, Weusi na Mashujaa […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kili Music Tour ndani ya Iringa kesho

BAADA ya kutikisa mjini Songea mkoani Ruvuma, tamasha la Kili Music Tour sasa linahamia Mkoa wa Iringa huku mashabiki wakiwa wamepania burudani hiyo. Tayari promosheni mbalimbali zimeanza katika mji wa...

 

10 years ago

Michuzi

Miss Temeke 2014 apatikana usiku huu,TCC Club Chang'ombe jijini Dar

Mshindi wa taji la Miss Temeke 2014,Sitti Mtemvu akipungia mkono mara tu baada ya kutangazwa rasmi kuwa ndie aliestahili kupata taji hilo katika shindano lililomalizika usiku huu kwenye Ukumbi wa TCC Club,Chang'ombe jijini Dar es salaam.Kushoto ni Mshindi wa pili,Salama Saleh na kulia ni Mshindi wa tatu,Neema Mollely.
Miss Temeke 2014,Sitti Mtemvu akiwa ni mwenye tabasamu zito mara baada ya kutwaa taji hilo usiku huu.Mwanalibeneke Othman Michuzi akimvisha taji la Michuzi Blog Miss Photogenic...

 

11 years ago

GPL

KILI MUSIC TOUR YAVUNJA REKODI JIJINI MWANZA

Msanii wa Bongo flava, Ben Pol akitumbuiza maelfu ya wakazi wa Mwanza wakati wa show ya Kilimanjaro Music Tour iliyofanyika katika Uwanja wa Kirumba na kuwavutia maelfu ya mashabiki. Ziara hii inadhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager.  Msani wa muziki wa dance, Christian Bella akikonga nyoyo za wakazi wa Mwanza katika show ya Kilimanjaro Music Tour iliyofanyika katika Uwanja wa Kirumba na kuwavutia maelfu ya mashabiki....

 

11 years ago

GPL

ANGALIA TUKIO ZIMA LA UTOAJI TUZO ZA KILI USIKU HUU NDANI YA MLIMANI CITY

KUTAZAMA SHUGHULI NZMA YA UTOAJI TUZO ZA KILI INGIA HAPA: KTMA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani