Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kili Music Tour: AY, FA, Profesa J, Vanessa, Ben Pol, Weusi kushusha burudani Jumamosi hii*

Baada ya kuzunguka kaskazini, kusini, kanda ya ziwa, kanda ya kati na nyanda za juu kusini Jumamosi hii burudani ya Kili Music Tour inamalizikia Leaders Club jijini Dar es Salaam. Wasanii watakaotumbuiza ni pamoja na Christian Bella, Khadija Kopa, Jambo Squad, Ben Pol, Profesa Jay, Rich Mavoko, Vanessa Mdee, Ommy Dimpoz, MwanaFA, Weusi na Mashujaa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DIMPOZ, BEN POL WAFANYA KWELI KILI MUSIC TOUR DAR

Mwanamuziki Ommy Dimpoz na Vanessa Mdee wakikamua wimbo wao wa 'Me and U'. Mwanamuziki wa RnB, Ben Pol akizikonga nyoyo za mashabiki wa…

 

11 years ago

GPL

WAKAZI WA SONGEA WASHUHUDIA BURUDANI YA KILI MUSIC TOUR

Wakazi wa Songea wakishuhudia burudani toka kwa wakali wa muziki nchini katika tamasha la Kili Music Tour katika uwanja wa Majimaji Songea.
Diamond Platnumz akithibitisha…

 

10 years ago

GPL

KILI MUSIC TOUR 2014 BURUDANI MWANZO MWISHO

Burudani mbalimbali katika usiku wa Kili Music Tour 2014 kwenye Viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam Septemba 6, 2014.

 

10 years ago

GPL

BURUDANI ZA KILI MUSIC TOUR NDANI YA LEADERS CLUB JIJINI DAR USIKU HUU

Bendi ya Mapacha Watatu ikifanya mambo ndani ya Viwanja vya Leaders jijini Dar usiku huu katika Tamasha la Kili Music Tour.…

 

10 years ago

Bongo5

Weusi kuzindua video zao 5 mpya kwenye show ya ‘Funga mwaka la Weusi’ Jumamosi hii Dar

Familia ya Weusi inaendelea kuonesha matunda ya muungano wao, wakiwa wanaendelea na ziara ya show zao za Funga mwaka, wiki hii Weusi wanatarajia kuzindua video zao tano kwa mpigo pale Escape One, jijini Dar es salaam. Msemaji wa kundi hilo Nikki Wa Pili amezitaja video watakazozindua Jumamosi hii November 29, kuwa ni video yake ya […]

 

9 years ago

Mtanzania

Ne-Yo awanyanyua Ali Kiba, Vanessa Mdee, Ben Pol, Fid Q

Neyo na Ali kibaNA MWANDISHI WETU

MWIMBAJI maarufu duniani wa miondoko ya R&B kutoka Marekani, Ne-Yo, ameacha gumzo kwa wapenzi wa muziki wanaofuatilia onyesho la Coke Studio kutokana na umahiri aliouonyesha katika kolabo alizofanya na wasanii kutoka barani Afrika.

Katika msimu huu, amefanya kolabo na wanamuziki Wangechi (Kenya), Ali Kiba (Tanzania), Maurice Kirya (Uganda), Dama Do Bling (Msumbiji) na  Ice Prince (Nigeria).

Kolabo alizofanya na wasanii hao zimeleta burudani ya pekee kwa wapenzi wa muziki wa...

 

9 years ago

Bongo5

Kuna chochote tutarajie baada ya Ben Pol kukutana na Patoranking Afrika Kusini? Ben Pol ana majibu…

Ben SA-1

Safari ya Ben Pol Afrika Kusini imempa nafasi ya kukutana na mastaa wa Afrika ambao kwa namna moja ama nyingine alikuwa na ndoto za kuja kufanya nao kazi hapo baadae.

Ben SA-1

Ben Pol ambaye ameenda jijini Johannesburg kushoot video ya wimbo aliomshirikisha Avril na Rossie M, ambayo imefanyika jana, pia alipata nafasi ya kukutana na staa wa Nigeria, Patoranking.

Ben pol na Patoranking2
Ben Pol na Patoranking

Baada ya kupost picha akiwa na staa huyo kwenye Instagram, mashabiki walianza kupata hisia kuwa huenda kuna...

 

9 years ago

Mtanzania

Ben Pol, Kiba, Vanessa Mdee, Fid Q kuwasha moto Coke Studio Africa

Ben-Pol_fullvanessa-620x400alikiba1fid-qNA MWANDISHI WETU

WASANII nguli wa muziki nchini, Ben Pol, Ali Kiba, Fid Q na Vanessa Mdee, wataungana na wasanii wengine 27 barani Afrika katika msimu wa tatu wa maonyesho ya  burudani ya muziki, maarufu kama Coke Studio Africa litakaloanza mapema wiki ijayo.

Onyesho la mwaka huu ni tofauti na yaliyopita kwa kuwa litaendana na mabadiliko yaliyopo katika muziki duniani ‘Kolabo’.

Kolabo ya wasanii 55 itashirikisha wasanii wawili kutoka nchi mbili tofauti kuimba nyimbo mbili za mitindo...

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Ben Pol — Twaendana

Muimbaji wa R&B, Ben Pol ameachia wimbo wake mpya ‘Twaendana’ uliotayarishwa na producer wa Arusha, DX. Usikilize hapa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani