Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KINANA AKUTANA NA BALOZI WA RWANDA DAR

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia), akimkaribisha Balozi wa Rwanda hapa nchini, Eugene Kayihura, kabla ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo)

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal aagana na Balozi wa Botswana nchini Tanzania Ikulu Dar, akutana na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania

02

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Botswana nchini Tanzania, anayemaliza muda wake, Oliphant Tuelonyana, aliyefika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. (Picha na OMR).

01

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na  Balozi wa Botswana nchini Tanzania, anayemaliza muda wake, Oliphant Tuelonyana,...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA BALOZI WA RWANDA NCHINI TANZANIA IKULU DAR KWA MAZUNGUMZO.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura, aliyefika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya mazungumzo.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam jana. Picha na OMR

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AKUTANA NA RAIS PAUL KAGAME WA RWANDA MJINI KIGALI

Rais Paul Kagame wa Rwanda akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana katika mazungumzo yaliyofanyika katika Hoteli ya Serena, Mjini Kigali Rwanda, juzi. 
Picha na Edward J. Mpogolo, 
wa ofisi ya Katibu Mkuu wa CCM

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM AKUTANA NA BALOZI WA RWANDA NCHINI

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia), akimkaribisha Balozi wa Rwanda hapa nchini, Eugene Kayihura, kabla ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
 Balozi wa Rwanda hapa nchini, Eugene Kayihura, akijitambulisha kwa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, kabla ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu wa Balozi huyo, Ernest Bugingo.

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akimkaribisha kwa furaha, Balozi wa Uingereza hapa nchini, Dianna Melrose, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam,  leo June 9, 2014.  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, na Balozi  huyo wa Uingereza hapa nchini, Dianna Melrose, wakipena mikono kabla ya kuanza mazungumzo yao, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam, June 9, 2014. Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Balozi wa Ireland akutana na Kinana

01

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimkaribisha Balozi wa Ireland nchini Fionnuala Gilsenan ofisini kwake leo februari 9,2015 jijini Dar es Salaam.

02

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na  Balozi wa Ireland nchini Fionnuala Gilsenan ofisini kwake jijini Dar es Salaam (Picha na Adam Mzee).

 

10 years ago

Michuzi

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akutana na Balozi Mteule wa Tanzania Nchini Rwanda

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Rwanda zina wajibu wa kuendelea kushirikiana pamoja katika kudumisha udugu na ujirani mwema kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa kihistoria uliopo kati ya mataifa hayo mawili wanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema hayo wakati akizungumza na Balozi Mteule wa Tanzania Nchini Rwanda Balozi Said Ali Siwa aliyekuja kuaga rasmi baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo na Rais wa Jamuhuri ya...

 

10 years ago

GPL

RAIS JAKAYA KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA BALOZI WA RWANDA NA NORWAY, AMWAPISHA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI RWANDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akimkaribisha rasmi Balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania,Balozi Eugene Segore Kayihura alipowasilisha hati za utambulisho Ikulu jijini Dar es salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akimkaribisha rasmi Balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania,Balozi Eugene Segore Kayihura… ...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akutana na Balozi wa Canada nchini Tanzania Ikulu jijini Dar leo,Pia akutana na Mwenyekiti wa SAGCOT Fund

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Balozi wa Canada nchini,Mh. Alexandre Leveque ikulu jijini Dar es salaam leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Canada nchini,Mh.Alexandre Leveque ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mwenyekiti wa SAGCOT Fund Balozi Ami Mpungwe baada ya kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es Salam leo.(picha na Freddy Maro).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani