Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana: Mama Anne Kilango Malecela ni Katapilla la Same Mashariki, amsifu kwa kazi nzuri

1

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Same Mashariki na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi mama Anne Kilango Malecela wakati alipowasili katika kijiji cha Maone akiwa katika ziara yake ya Kikazi yenye lengo la kukagua na kuhimiza utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza uhai wa Chama Cha Mapinduzi CCM ambapo alikagua mradi wa chuo cha ufundi cha Maone na kumsifu mbunge wa jimbo hilo Mama Anne Kilango kuwa ni Katapilla...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

IPPmedia

Anne Kilango Malecela


IPPmedia
Anne Kilango Malecela
IPPmedia
The twelve committees of the Constituent Assembly yesterday started work on Chapter One and Six of the draft constitution behind closed doors and tight security. The two chapters of the draft covers the Union issue which has already divided the members in ...
Debates on 2nd Katiba draft 'go on smoothly'Daily News

all 3

 

10 years ago

Michuzi

Mhe Anne Kilango Malecela aitaka Bodi ya Mikopo kutoa elimu zaidi kwa wadaiwa


 Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Anne Kilango Malecela (wa pili kulia) akimsikiliza Meneja Upangaji Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Bi. Emma Sabaya (kushoto) leo (Jumatano, Aprili 22, 2015) jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri alifanya ziara ya kikazi katika Bodi hiyo na kukutana na uongozi wa Bodi.

 Mkurugenzi wa Mipango, Utafiti na TEHAMA wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Bw. Asangye Bangu (mwenye tai ya njano) akimweleza ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana amsifu Mama Salma Kikwete kuanzisha shule ya WAMA Nakayama

 Katibu Mkuu wa CCM, ADULRAHMAN Kinana akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya WAMA NAKAYAMA aliposimama kwa muda akitokea ziara ya Kisiwa cha Mafia kwenda Dar es Salaam. Alimpongeza Mama Salma Kikwete kwa kitendo cha kuanzisha shule hiyo yenye manufaa makubwa kwa watoto ya kike wanaotoka sehemu mbalimbali nchini kwenda kusoma hapo. Pia alitumia furssa hiyo kuwapongeza walimu wa shule hiyo kwa kazi kubwa wanaoifanya kiasi cha kufanikisha wanafunzi kufanya vizuri katika mtihani wa...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Anne Kilango aitaka Bodi ya Mikopo kutoa elimu zaidi kwa wadaiwa

Mkurugenzi Msaidizi wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Bw. Cosmas Mwaisobwa (kulia) akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majuku ya Bodi kwa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Anne Kilango Malecela leo (Jumatano, Aprili 22, 2015) jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri alifanya ziara ya kikazi katika Bodi hiyo na kukutana na uongozi wa Bodi.Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Anne Kilango Malecela (wa pili kulia)...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Anne Kilango aichapa serikali

MBUNGE wa Same Mashariki, Anne Kilango (CCM), ameilipua Serikali kuwa kutokana na kuwa legelege ndio maana nchi za nje zimeifanya Tanzania kuwa sehemu ya kuuzia  dawa za kulevya. Kilango alitoa...

 

9 years ago

StarTV

Anne Kilango aahidi kuwaletea wananchi maendeleo

Wakati Watanzia wakikaribia kwenye uchaguzi mkuu kuwachagua Wabunge Madiwani pamoja na Rais Mgombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM katika Jimbo la Same Mashariki Anne Kilango ameahidi kusimamia vyema ilani ya chama chake katika kuwaletea maendeleo wananchi hususani kwenye nyanja ya uchumi endapo atapata ridhaa kwa mara nyingine kuwa mbunge wa jimbo hilo.

Kilango ameyasema hayo katika mkutano wake wa kampeni wa kuomba kura kwa wananchi uliofanyika kwenye Kata ya Gonja Maore wilayani...

 

10 years ago

Michuzi

Mhe Anna Kilango Malecela atembelea Taasisi zilizopo chini ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi

Naibu waziri Anne Kilango Malecela akiongea na wafanyakazi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania(TEA) Jumatatu. Wa pili kutoka kushoto ni  Kaimu Mkurugenzi wa TEA Bw. Joel Laurent, na watatu kutoka kushoto ni Bi, Paulina Mkoma kutoka wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. Mhe. Anna Kilango Malecela ametembelea Mamlaka ya Elimu Tanzania katika ziara yake ya kutembelea Taasisi zilizopo chini ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani