KINANA, NAPE WAFUNIKA JIJINI MWANZA
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwapigia saluti, maelfu ya wananchi, alipowasili kuhutubia mkutano wake wa hadhara aliofanya jana kwenye Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama mkoani Mwanza. Katibu wa…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKINANA NA NAPE WAONGOZA MAKUNDI YA VIJANA KUSHIRIKI JOGGING JIJINI MWANZA ASUBUHI HII.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wameongoza makundi ya vijana kutoka Shirikisho la Vyuo Vikuu pamoja na Machinga wa mjini Mwanza kukimbia mchakamchaka (jogging) kwa umbali wa zaidi ya kilometa 2,kuanzia Barabara ya Stesheni,kupitia barabara ya Posta,Kenyatta, Karuta,Lumumba maeneo ya Soko Kuu mpaka Stendi ya zamani Tanganyika.
Viongozi mbali mbali walishiriki mchakamchaka huo akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Magessa...
Viongozi mbali mbali walishiriki mchakamchaka huo akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Magessa...
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NA NAPE NNAUYE WATIKISA JIJI LA MWANZA LEO
Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara wa kuhitimisha ziara ya miezi 26 katika mikoa 31 nchini, ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua, kuhimiza na kusimamia Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.
Mkutano huo umefanyika kwenye viwanja vya Furahisha, Kirumba jijini Mwanza jioni ya leo. Ndugu Kinana ambaye katika ziara hiyo ameambatana na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye,...
Mkutano huo umefanyika kwenye viwanja vya Furahisha, Kirumba jijini Mwanza jioni ya leo. Ndugu Kinana ambaye katika ziara hiyo ameambatana na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye,...
11 years ago
MichuziNAPE azungumza na wanachama wa CCM Tawi la SAUT jijini MWANZA
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na wanachama wa CCM Tawi la SAUT Kambarage ambapo aliwaambia kuwa wasomi wa vyuo wanatakiwa kuchangia mawazo yao kwenye chama ambayo yatasaidia kuleta mabadiliko hasa ya kiuchumi ,alisema ni vyema kuja na mikakati ya kuonyesha uchumi umepanda kwa mwananchi kuliko huu wa sasa ambao unaonyesha uchumi umepanda lakini ni uchumi wa kwenye makaratasi.Uongozi Tawi la SAUT Kambarage ulimualika Katibu wa Itikadi na Uenezi kuja kushuhudia...
10 years ago
VijimamboKINANA KUUNGURUMA JIJINI MWANZA LEO
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana leo atahutubia maelfu ya wakazi wa jiji la Mwanza kwenye mkutano wa hadhara utakaofanyika kwenye viwanja vya Furahisha na kurushwa live katika vituo vitatu vya televisheni vya Star Tv, TBC na ITV.
Mkutano huu ndio utakuwa mkutano mkubwa wa kuhitimisha ziara za Katibu Mkuu nchi nzima alizoanza miaka miwili iliyopita.
Katibu Mkuu katika ziara zake ameongozana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye .
Maandalizi ya kufunga vifaa vya sauti yakiwa...
10 years ago
MichuziZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NDANI YA VISIWA VYA UKEREWE JIJINI MWANZA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwapungia wakazi wa kijiji cha Sambi kata ya Irugwa, wilayani Ukerewe waliojitokeza kwa wingi kumpokea ,Kinana ameweka historia kwa kuwa kiongozi wa kwanza kufika katika kisiwa hicho akiwa kwenye ziara ya kukagua,kuhimiza na kusimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi pamoja na kukagua uhai wa Chama. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimina na mmoja wa wakazi wa kata ya Irungwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia...
10 years ago
MichuziKINANA NA UJUMBE WAKE WAFUNIKA JIMBO LA MCHINGA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa Milola jimbo la Mchinga ambapo aliwaambia wapinzani wamekosa sera mbadala matokeo yake wamekuwa wakitumia muda mwingi kuishambulia CCM Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM ,Mbunge wa Jimbo la Mtama na mlezi wa wilaya Kilwa na Waziri wa Mambo ya Nje Ndugu Bernard Membe akiwasalimia wakazi wa Milola waliojitokeza kwa wingi kuja kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman. Sehemu ya wananchi wakifuatilia mkutano. Katibu...
10 years ago
Vijimambo29 Sep
Chadema wafunika Mwanza, polisi watawanywa kwa mabomu
Baada ya Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza kuzuia maandamano ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katikati ya wiki iliyopita, umati mkubwa wa wakazi jijini hapa jana walifurika katika uwanja wa Shule ya Msingi Mbugani kuwasikiliza viongozi wao wa kitaifa.
Viongozi hao ni Naibu Katibu Mkuu Bara, John Mnyika na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Salum Mwalimu.Mkutano huo uliohutubiwa na viongozi hao, pia ulihudhuriwa na viongozi wa mkoa wa Mwanza wa vyama vya NCCR-Mageuzi na Chama...
10 years ago
GPLCHADEMA WAFUNIKA MWANZA, WAAHIDI KUMSIMAMISHA MGOMBEA MAKINI
PICHA NA MAELEZO ZAIDI INGIA HAPA ====>…
10 years ago
MichuziZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA LEO JIMBO LA NYAMAGANA,KESHO KUUNGURUMA LIVE JIMBO LA ILEMELA JIJINI MWANZA
Wananchi wakiwa wamesimama juu ya daraja la zamani, wakati Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipokagua ujenzi wa daraja jipya la Isegenge katika Kata ya Mahina, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza leo.Ndugu Kinana kesho atahutubia katika mkutano wa hadhara utakaofanyika kwenye viwanja vya Furahisha jijini Mwanza,mkutano huo utarushwa moja kwa moja na televisheni mbalimbali ikiwa ni sehemu ya hitimisho ziara yake...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania