Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana, Nape wazidi kukata mbuga ziara ya Dodoma, leo watinga Chamwino

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (katikati), akishiriki kuchimba shimo la choo cha Shule Mpya ya Msingi ya Kikwete, eneo l;a Chamwino Ikulu, Jimbo la Chilonwa wakati wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM, katika Wilaya ya Chamwino, Mkoa wa Dodoma leo.

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akivishwa chombo chenye dawa aliposhiriki kupulizia dawa za kuua wadudu katika mradi wa shamba la zabibueneo la Chinangali...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

ZIARA YA WAZIRI MKUU WILAYANI CHAMWINO DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Bibi Gilita Mlong'ose wakati alipotembelea Hospitali ya Mvumi wilayani Chamwino akiwa katika ziara ya wilaya hiyo mkoani Dodoma Juni 7, 2014. Bibi huyo alikuwa ni miongoni mwa wagonjwa waliofika hospitalini hapo kutibiwa macho. Kushoto ni Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi ya mkuki kutoka kutoka kwa mwenyekiti waCCM wa Tawi la Ilolo wilayani Chamwino akiwa katika ziara ya wilaya hiyo mkoani...

 

10 years ago

Michuzi

KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA CHAMWINO,KESHO KUUNGURUMA MTERA.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (katikati), akishiriki kuchimba shimo la choo cha Shule Mpya ya Msingi ya Kikwete, eneo la Chamwino Ikulu, Jimbo la Chilonwa wakati wa ziara yake ya siku tisa ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM, katika Wilaya ya Chamwino, Mkoa wa Dodoma leo.Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akishiriki kupulizia dawa ya kuua wadudu katika mradi wa shamba la zabibu wa Chinangali II, wilayani Chamwino, mkoani...

 

11 years ago

Dewji Blog

Ziara ya Waziri Mkuu Pinda wilayani CHAMWINO — Dodoma

PG4A1914

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Bibi  Gilita  Mlong’ose  wakati alipotembelea  Hospitali ya Mvumi wilayani Chamwino akiwa katika ziara ya wilaya hiyo mkoani Dodoma Juni 7, 2014. Bibi huyo alikuwa ni miongoni mwa wagonjwa waliofika  hospitalini hapo kutibiwa macho. Kushoto ni Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde. (Picha na Ofisiya Waziri Mkuu).

PG4A1923

PG4A1984

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi ya mkuki kutoka kutoka kwa mwenyekiti waCCM wa Tawi la  Ilolo wilayani Chamwino akiwa katika...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AANZA ZIARA YAKE WILAYANI MPWAPWA MKOANI DODOMA LEO.




 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akikatiza kwenye moja ya mtaro alipokwenda kukagua na kushiriki kulima katika shamba la mkulima bora wa mwaka 2014,Bi.Anna Mlewa katika kijiji cha Berege,wilaya ya Mpwapwa. Kinana ameanza ziara ya siku 9 mkoani Dodoma ya Kuimarisha uhai wa chama,kukagua,kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi 2010 pamoja na kusikiliza kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi. Pichani Kati ni Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwa ameongoza na Mkulima bora wa mwaka...

 

10 years ago

Vijimambo

SIKU YA 29 YA ZIARA YA KINANA WAPINZANI WAZIDI KURUDI CCM


 Vitalu vya miche ya miti vinavyomilikiwa na Umoja wa Vikundi vya Kijamii wilaya ya Mufindi (UVIKIMU)
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kumwagia maji vitalu vya miche ya miti vinavyomilikiwa na Umoja wa Vikundi vya Kijamii wilaya ya Mufindi (UVIKIMU)
 Shamba la chai Ngwazi
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kuchuma chai pamoja na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwenye shamba la chai Ngwazi wilaya ya Mufindi.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATEMBELEA WILAYA YA CHAMWINO KATIKA ZIARA YAKE YA MKOA WA DODOMA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe. Fatma S. Ally alipowasili wilayani humo kukagua miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi. Rais Kikwete akisalimiana na viongozi mbalimbali wilayani humo.  Rais Kikwete akisalimiana na viongozi mbalimbali wilayani humo Rais Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Mtera Mhe Livingstone Lusinde "Kibajaji".

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA YAZIDI KUCHANJA MBUGA JIMBO LA BAHI,KESHO KUIVURUGA KONDOA

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi wa kijiji cha Misisi kata ya Misisi,wilayani Bahi mapema leo,mkoani Dodoma akiwa ziarani ndani ya jimbo la Bahi.
Ndugu Kinana amezungumza na wananchi hao waliokuwa wamebeba mabango na kuzuia msafara wake,kutokana na matatizo yaliyokuwapo katika kijiji hicho na kukosa ufumbuzi kwa muda mrefu.Wananchi hao walikuwa na lalamiko lao moja kubwa lililohusu shule yao ya msingi ya Msisi,ambayo madarasa yake mawili yaliezuliwa...

 

10 years ago

Vijimambo

ZIARA YA KINANA NA NAPE JIMBO LA MONDULI YAFANA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasha umeme kama ishara ya kuzindua umeme katika kijiji cha Lolkisale.Mradi wa umeme vijijini (REA) ni mradi unaodhaminiwa na serikali ya Tanzania kwa asilimia 100%.Mbunge wa Jimbo la Monduli ,Waziri Mkuu Mstaafu Ndgu Edward Lowassa akiwasalimu wananchi wa Lolkisale mara baada ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kuzindua rasmi umeme kijijini hapo.Wananchi wa Lolkisale wakisikiliza hotuba za viongozi wao.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu...

 

10 years ago

Vijimambo

BERNARD MEMBE APATA WADHAMINI WILAYANI CHAMWINO -DODOMA, ATEMBELEA MNARA WA KUMBUKUMBU YA MW. NYERERE KATIKA KIJIJI CHA CHAMWINO IKULU

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akilakiwa na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliofika kwenye viwanja vya Ofisi ya Serikali ya Kijiji cha Chamwino Ikulu, wilayani Chamwino Mkoa wa Dodoma Juni 22.2015, kwa ajili ya kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho. Picha zote na John Badi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani