Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana: Wasaliti CCM wako kumi

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amesema hana mpango wa kuwahoji Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaotokana na chama hicho kwa sababu ya misimamo yao inayokinzana na miongozo ya chama, kwa kuwa anawafahamu wote kwa majina na idadi yao haizidi kumi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wasaliti na wakaidi CCM sasa basi, asema Kanali Kinana

Chama Cha Mapiduzi (CCM), kimetishia kuwatimua mara moja, wanachama wasaliti na wasiokubali kushindwa wakati wa kura za maoni za kuwania kuteuliwa ili kugombea urais, ubunge na udiwani.

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWASILI WILAYANI NZEGA KUENDELEA NA ZIARA YAKE YA SIKU KUMI MKOANI TABORA

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Mbunge wa jimbo la Nzega,Mh.Hamis Kingwangala mapema leo asubuhi katika kijiji cha Ziba,mpakani mwa Igunga na Nzega, wakati Ndugu Kinana na Ujumbe wake akiwa ameambatana na Katibu wa NEC,Itikadi, Siasa na Uenezi CCM Taifa,Nape Nnauye mara baada ya kuwasili wilayani humo kuendelea na ziara yake ya siku 10 mkoani Tabora.Kinana amewasilia wilayani Nzega akitokea wilayani Igunga mkoani Tabora.   Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE YA SIKU KUMI KISIWANI UNGUJA,KESHO KUWASILI KISIWANI PEMBA.

Pichani juu na chini ni Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwahutubia Baadhi ya wakazi wa mji wa Kizimkazi waliofika katika uwanja wa Kizimkazi Mkunguni,Wilaya ya Kusini Unguja kumsikiliza.Ndugu Kinana ambaye leo anaikamilisha ziara yake ya siku kumi katika kisiwa cha Unguja akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye,katika suala zima la kuimarisha uhai wa chama na kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi.Mkutano wa hadhara ukiendelea katika uwanja wa Kizimkazi...

 

9 years ago

Habarileo

CCM Arusha kutimua wasaliti

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Arusha kimesema kitaanika hadharani majina ya viongozi na wanachama wasaliti ikiwemo kuwachukulia hatua za kuwafukuza kwani kuendelea kuwepo kwao kunakimaliza chama.

 

10 years ago

Mtanzania

Mangula awashukia wasaliti CCM

MangulaNa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula amesema chama hicho kamwe hakitawafumbia macho viongozi wasaliti wasiokitakia mema chama hicho.
Amesema wanachama wake, wanatakiwa kuwafichua viongozi wa aina hiyo ili kukinusuru kisipoteze nafasi za majimbo na udiwani katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba, mwaka huu.
“Endapo mwanachama au kiongozi, akibainika kufanya hujuma dhidi ya chama, atachukuliwa hatua kali ikiwemo ya kufukuzwa uanachama, CCM haina...

 

9 years ago

StarTV

CCM chaonya wanachama wasaliti

Chama cha Mapinduzi CCM kimesema hakitawavumilia wanachama wake waliokisaliti na kusababisha majimbo mawili ya Tarime mjini na Tarime vijijini kuchukuliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.

Kauli ya katibu mwenezi wa CCM wilaya Tarime Sospeter Samson aliyoitoa mjini Tarime alipokuwa akiongea na Star Tv.

Katibu muenezi wa ccm wilaya ya tarime Sospeter Samson amesema, kwa sasa chama kimeanza vikao vya tathimini, ili kubaini nini kilicho sababisha chama hicho kuyapoteza majimbo yote...

 

10 years ago

Habarileo

Mangula ‘asaka’ wasaliti CCM

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Philip Mangula (kushoto), akihutubia katika mkutano wa wajumbe wa Halmshauri kuu ya CCMMAKAMU Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Philip Mangula amemaliza ziara yake katika majimbo ya Mkoa wa Dar es Salaam, na kuagiza kila mwanachama awe mlinzi wa mwenzake, amchunguze ili kuepuka wasaliti.

 

9 years ago

StarTV

Viongozi wa CCM Iringa wafungiwa ndani kwa saa 4 madai ya kutowawajibisha wasaliti

Viongozi wa chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Iringa, wamejikuta katika wakati mgumu baada ya kufungiwa ndani kwa takribani saa nne – katika jengo la CCM Mkoa, kwa kile kinachotajwa kushindwa kuwachukulia hatua wasaliti wa chama hicho.

 

Tukio hilo linalodaiwa kufanywa na baadhi ya vijana wa chama hicho, wakishinikiza kujihudhuru kwa Jesca Msambatavangu- mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa, kiongozi anayetajwa kukihujumu chama na kusababisha jimbo la Iringa mjini kuchukuliwa na Upinzani.

 

katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani