CCM chaonya wanachama wasaliti
Chama cha Mapinduzi CCM kimesema hakitawavumilia wanachama wake waliokisaliti na kusababisha majimbo mawili ya Tarime mjini na Tarime vijijini kuchukuliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.
Kauli ya katibu mwenezi wa CCM wilaya Tarime Sospeter Samson aliyoitoa mjini Tarime alipokuwa akiongea na Star Tv.
Katibu muenezi wa ccm wilaya ya tarime Sospeter Samson amesema, kwa sasa chama kimeanza vikao vya tathimini, ili kubaini nini kilicho sababisha chama hicho kuyapoteza majimbo yote...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo10 Dec
CCM Arusha kutimua wasaliti
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Arusha kimesema kitaanika hadharani majina ya viongozi na wanachama wasaliti ikiwemo kuwachukulia hatua za kuwafukuza kwani kuendelea kuwepo kwao kunakimaliza chama.
10 years ago
Mtanzania24 Apr
Mangula awashukia wasaliti CCM
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula amesema chama hicho kamwe hakitawafumbia macho viongozi wasaliti wasiokitakia mema chama hicho.
Amesema wanachama wake, wanatakiwa kuwafichua viongozi wa aina hiyo ili kukinusuru kisipoteze nafasi za majimbo na udiwani katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba, mwaka huu.
“Endapo mwanachama au kiongozi, akibainika kufanya hujuma dhidi ya chama, atachukuliwa hatua kali ikiwemo ya kufukuzwa uanachama, CCM haina...
10 years ago
Habarileo25 Apr
Mangula ‘asaka’ wasaliti CCM
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Philip Mangula amemaliza ziara yake katika majimbo ya Mkoa wa Dar es Salaam, na kuagiza kila mwanachama awe mlinzi wa mwenzake, amchunguze ili kuepuka wasaliti.
11 years ago
Mwananchi15 Mar
Kinana: Wasaliti CCM wako kumi
11 years ago
Mwananchi02 Feb
Wasaliti na wakaidi CCM sasa basi, asema Kanali Kinana
9 years ago
StarTV21 Dec
Viongozi wa CCM Iringa wafungiwa ndani kwa saa 4 madai ya kutowawajibisha wasaliti
Viongozi wa chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Iringa, wamejikuta katika wakati mgumu baada ya kufungiwa ndani kwa takribani saa nne – katika jengo la CCM Mkoa, kwa kile kinachotajwa kushindwa kuwachukulia hatua wasaliti wa chama hicho.
Tukio hilo linalodaiwa kufanywa na baadhi ya vijana wa chama hicho, wakishinikiza kujihudhuru kwa Jesca Msambatavangu- mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa, kiongozi anayetajwa kukihujumu chama na kusababisha jimbo la Iringa mjini kuchukuliwa na Upinzani.
katika...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-n06lITZYOLA/U5cHe-2Z6MI/AAAAAAAAGc8/R7bU-qjuuQk/s72-c/WP_20140609_002.jpg)
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAZAZI YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM (TAIFA) AWAAPISHA WANACHAMA 367 WAPYA WA CCM WILAYA YA NYASA MKOANI RUVUMA
![](http://4.bp.blogspot.com/-n06lITZYOLA/U5cHe-2Z6MI/AAAAAAAAGc8/R7bU-qjuuQk/s1600/WP_20140609_002.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-KdnxJ1aW1n0/U5cI8AVOS6I/AAAAAAAAGeM/-12aGh-7FhU/s1600/WP_20140609_061.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-dq_xphw_C8g/U5cHYdx-vxI/AAAAAAAAGc0/1Q3GNwFdZxA/s1600/WP_20140609_010.jpg)
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-kTugum0Lk4w/VjMoe6HeKGI/AAAAAAAIDdU/PVlkQr8icJs/s72-c/unnamed%2B%252824%2529.jpg)
PONGEZI KWA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI KUTOKA KWA WANACHAMA WA CCM,TAWI LA CCM CHINA
![](http://1.bp.blogspot.com/-kTugum0Lk4w/VjMoe6HeKGI/AAAAAAAIDdU/PVlkQr8icJs/s640/unnamed%2B%252824%2529.jpg)
11 years ago
MichuziKAMPENI ZA CCM KALENGA ZATINGA KIJIJI ALICHOZALIWA MGOMBEA WA CHADEMA, MWENYEKITI WA CHADEMA NA WANACHAMA 50 WATIMKIA CCM