Kinana ziarani Kagera, Mwanza
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana leo anatarajiwa kuanza ziara ya mwezi mmoja katika mikoa ya Kagera, Mwanza na Geita inayolenga kukagua utekelezaji wa ilani ya chama pamoja na kuhimiza uhai wa chama.
habarileo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania