Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LOWASSA YUKO ZIARANI MWANZA KUOMBA WADHAMINI.

MAELFU ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM, na wakazi wengine wa jiji la Mwanza, leo Ijumaa Juni 5, 2015, walifurika kwa wingi kwenye ofisi za CCM wilaya ya Nayamagana na ile ya Ilemela, wengine wakitaka kumuona na kupeana mikono na wengine kwa nia ya kumdhamini Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edwrad Lowassa, alipofika jijini Mwanza kutafuta wana CCM wa kumdhamini katika safari yake ya Matumaini. (Kuwania urais wa Tanzania kupitia CCM.Madereva texi, waendesha bodaboda, na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAELFU WAFURIKA MWANZA KUMUONA LOWASSA, YUKO ZIARANI KUOMBA WADHAMINI.

MAELFU ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM, na wakazi wengine wa jiji la Mwanza, leo Ijumaa Juni 5, 2015, walifurika kwa wingi kwenye ofisi za CCM wilaya ya Nayamagana na ile ya Ilemela, wengine wakitaka kumuona na kupeana mikono na wengine kwa nia ya kumdhamini Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edwrad Lowassa, alipofika jijini Mwanza kutafuta wana CCM wa kumdhamini katika safari yake ya Matumaini. (Kuwania urais wa Tanzania kupitia CCM.
Madereva texi, waendesha bodaboda, na...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MAGUFULI ARUDISHA FOMU ZA KUOMBA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CCM MARA BAADA YA KUKAMILISHA ZOEZI LA KUPATA WADHAMINI

 Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi fomu za Kuomba kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM kwa Naibu Katibu Mkuu Ndugu Rajabu Luhwavi mara baada ya kufanikiwa kupata wadhamini katika mikoa 23 ya Tanzania Bara na Visiwani.

 Dkt. Magufuli akisaini kitabu baada ya kurudisha Fomu hizo.

 Waziri Magufuli akihakiki fomu hizo kabla ya kuziwasilisha kwa Uongozi wa CCM Mkoa wa Dodoma. Magufuli...

 

10 years ago

Habarileo

Kinana ziarani Kagera, Mwanza

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman KinanaKATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana leo anatarajiwa kuanza ziara ya mwezi mmoja katika mikoa ya Kagera, Mwanza na Geita inayolenga kukagua utekelezaji wa ilani ya chama pamoja na kuhimiza uhai wa chama.

 

10 years ago

Raia Mwema

Wasaka urais wabagua wadhamini Mwanza

KATIKA hali ambayo haikutarajiwa, makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaosaka urais wameonyesha

Christopher Gamaina

 

10 years ago

Habarileo

Lowassa azoa wadhamini K’njaro

Edward LowassaWAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amezidi kuvunja rekodi ya kudhaminiwa na wanachama wengi zaidi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Mkoa wa Kilimanjaro, baada ya kupata wadhamini 33,780.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mapokezi ya Mh January Makamba Jiji la Mwanza akisaka wadhamini

IMG_2744

Mh. January Makamba na Mkewe wakitembea pamoja na Wana CCM katika mitaa ya jijini Mwanza mara walipowasili katika jiji hilo kutafuta wadhamini.(Picha zote na John Sambila).

Mbunge wa Bumbuli, Mh. January Makamba ambaye anazunguuka mikoani kwa sasa kusaka wadhamini, jana alikua katika Jiji la Mwanza huku mamia ya wanachama na wakazi wa Mwanza walifurika katika ukumbi wa Nyanza kumsikiliza Mh January.

Makamba ametoa ahadi kwa wakazi wa Mwanza kuwa hataka kama hatofanikiwa katika Mchakato huu...

 

10 years ago

Michuzi

January Makamba atua Jiji la Mwanza kusaka Wadhamini


Mh January Makamba Akipokea Fomu ya Wazamini katika jiji la  Mwanza kutoka kwa Katibu wa CCM wilaya ya Ilemela Loth Olemeint.Mbunge wa Bumbuli January Makamba ambaye anazunguuka mikoani kwa sasa kusaka wadhamini, leo alikua katika Jiji la Mwanza huku mamia ya wanachama na wakazi wa Mwanza walifulika katika ukumbi wa Nyanza kumsikiliza Mh January.Makamba ametoa ahadi kwa wakazi wa Mwanza kuwa hataka kama hatofanikiwa katika Mchakato huu hatokua na kinyongo wala Chuki kwa atakae Teuliwa.Kwa...

 

10 years ago

Michuzi

MH. LOWASSA ATUA ZANZIBAR KUSAKA WADHAMINI

Waziri Mkuu wa zamaninaMbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowasa, (kulia), akipokewa na Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Mjini Unguja, Borafia Silima Juma, wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mkoa wa Mjini, Unguja Jumamosi usiku, Juni 6, 2015. Mh.  Lowassa, yuko Zanzibar kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015. (Picha na K-VIS MEDIA)Mh. Lowassa, akifurahia jambo na Mzee...

 

10 years ago

Vijimambo

LOWASSA APATA WADHAMINI LINDI, MTWARA

Mmoja wa wana CCM waliomdhamini Mh. Lowassa, mkoani Mtwara, akimuombea dua" Ni furaha tupu", mama huyu wa mkoani Mtwara, akiwa na furaha wakati akisalimiana na Mh. LowassaMh. Lowassa, akisalimiana na mzee huyu wa mkoani MtwaraMh. Lowassa, (mwenye nywele nyeupe juu kulia), akitoa shukrani zake kwa wana CCM na maelfu ya wakazi wa mkoa wa Lindi, waliofurika kwenye ofisi za ccm mkoani humo, alkipofika kuomba wana CCM wa kumdhamini. Mkoani Lindi alipata udhamini wa wana CCM 3, 279Umati wa watu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani